Mume wangu nakupenda ila joseph kanikuna

Mume wangu nakupenda ila joseph kanikuna

chile ni nyokooo leo spain lazima wakae!! mtoa mada njoo uongezee ile kitu ya arusha utembee uchi....!
 
huu ndo udaku orijino, heading na mada inayozungumziwa haviendani kabisa. mfano, kuna siku gazeti moja la udaku liliandika heading 'RAISI AMUITA WEMA SEPETU CHUMBANI KWAKE' kumbe ndani wakaandika eti ni rais wa manzese madee. wadaku full kununua magazeti..
 
Kilichoandikwa hapo juu kusemakweli ni ngono wala sio mapenzi "it is sexual drive and not love" maana wapendanao hawasalitiani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom