Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
Bado nina matumaini na Ivory cost na Nigeria
Nigeria!?????????? are you serious!???
Bado nina matumaini na Ivory cost na Nigeria
Umalaya tu mfyuuuuuu kufanywa fanywa kwingi ndio maana hamridhikiii na dudu mojaa
mapenzi ndiyo yanaupamba ulimwengu huu,kama huamini hata uwe na pesa kiasi gani,masikini kiasi gani,hata uwe na postion gan serkalini hata kama ww ni kiongozi mkubwa duniani jamani acheni mapenzi yaitwe mapenzi,
haya mapenzi yalimfanya Rais mandela asalitiwe,haya mapenzi yamefanya watu weng maarufu wauwane,eeee mapenzi hivi ww ni kitu gani?????watu wanafanyiana unyama kisa mapenzi,
Raisi mwinyi aliongea mapenzi yamekaa sehem ambayo upende usipende pale sehem utaonja tu ,kweli yamekaa pale mahala hata ukiona klwa macho,mwili utatamani,akili inapararaiz,moyo unakuruka juujuu,kisa mapenzi,
mshirikishe mungu na omba sana mungu akupe macho na uone yupi anakufaa kamwe huwezi toa machozi kisa mapenzi,kamwe huwezi umia kisa mapenzi ,mazingira ndio tatizo kubwa ,siku ya kwanza ulipompenda je jiulize ulikutana nae wapi ?mazingira gani?mtu unakutana na mtu bar,club,daladala,njiani,uchouchoroni,sinema,leo hii anakusaliti unalia unalia nn?????
ushauri,mungu ni muweza wa yote,aweza yote,fanya maombi kwa kumaanisha utashinda na hakuna machozi kamwe
we ndo number moja
hata mie sijamuelewa kabisasijaelewa kabisaaa....
We unafatia namba2 punguza kufanywa
Kufanywa mtiaji kila siku si mbaya ila kama ndo unanipa signal ya ndogo situmiagi am alergic japo umejazia taka vizuri.
kaz ipo
Una matatizo wewe ,kwaheri
Umalaya tu mfyuuuuuu kufanywa fanywa kwingi ndio maana hamridhikiii na dudu mojaa
Nigeria!?????????? are you serious!???
Nigeria!?????????? are you serious!???
Nimekuja mbio na Diwani ya Mloka!
Mxxxxxiou!
Headline na maelezo yako mbona kizunguzungu??!!
Sitaki stress kipindi hiki,nashabikia waojua mpira tu.