Mume wangu nakupenda ila joseph kanikuna

Huyo Joseph mbona hujamtumia tena au ulikuwa unamaanisha Emmanuel Mbasha nini kwa sababu ndiyo hivyo tena yuko mahabusu sasa.
Joseph katoka mkuu, yani mmepishana wewe unafungua thread yeye ndio anatoka ila atarudi tu..Hehehehe
 
Shairi la Fikra za waungwana kutoka katika diwani ya Chungu Tamu iliyoandikwa na TA Mvungi, Aiseeee umenikumbusha mbali sana mambo ya Ana,Nania na Joseph.
 
mapenzi ndiyo yanaupamba ulimwengu huu,kama huamini hata uwe na pesa kiasi gani,masikini kiasi gani,hata uwe na postion gan serkalini hata kama ww ni kiongozi mkubwa duniani jamani acheni mapenzi yaitwe mapenzi,
haya mapenzi yalimfanya Rais mandela asalitiwe,haya mapenzi yamefanya watu weng maarufu wauwane,eeee mapenzi hivi ww ni kitu gani?????watu wanafanyiana unyama kisa mapenzi,
Raisi mwinyi aliongea mapenzi yamekaa sehem ambayo upende usipende pale sehem utaonja tu ,kweli yamekaa pale mahala hata ukiona klwa macho,mwili utatamani,akili inapararaiz,moyo unakuruka juujuu,kisa mapenzi,
mshirikishe mungu na omba sana mungu akupe macho na uone yupi anakufaa kamwe huwezi toa machozi kisa mapenzi,kamwe huwezi umia kisa mapenzi ,mazingira ndio tatizo kubwa ,siku ya kwanza ulipompenda je jiulize ulikutana nae wapi ?mazingira gani?mtu unakutana na mtu bar,club,daladala,njiani,uchouchoroni,sinema,leo hii anakusaliti unalia unalia nn?????
ushauri,mungu ni muweza wa yote,aweza yote,fanya maombi kwa kumaanisha utashinda na hakuna machozi kamwe

Mchezo umeisha na mshindi ameonekana
 
Acha nikukumbushe kidogo kuhusu hilo shairi mkuu.
mume wangu nakupenda,lakini joseph amenikuna,
Nimekula naye tunda,nampendelea sana,
Usifanye hinda,nitaishi kwa mpango kwako na kwake koseph.
 
hahahaha umezidi kunifurahisha looo jf rahaaa sana
 
naona dogo kachanganyikiwa na Joseph hata kuandika kaandika mcharazo
 
Nilijua ufundi wa joseph umewwekwa umeanikwa kwa faida ya waote aaaaaargh
 
huyu ni mke wa mtu kaliwa huko....anakuja kujishebedua hapa eti mapenzi kumbe ashki zake za ngono zilimzidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom