Mume wangu na x-gf wake

Duh! Hapa sitii tena neno!

Kwamba mmeo hapendi kudraft applications, na ex wake naye hapendi kudraft applications!!

What a Coincidence!!
Babu hii miwani yako sasa itabidi tui-BAN maana hukawii kutuona tupu wakati tupo behind ze skrin looh
 
inakera sana, halafu huyu X wa mr alitaka kunitengenezea mazingira ya kumwamini, anacall muda anaojickia, utakachoona call c ya kawaida hata kabla hawajasalimiana utackia mr anasema" hallow fulani, eehh nipo home, na wife yupo tumepumzika kdgo, vipi wewe huko"".....na maongezi yatakuwa mafupi sana mpaka utajiuliza amemcal ili iweje na hakuna cha maana walichoongea...mr akimaliza hapo na yeye kutaka kumalizia kunifunga utackia""fulani anakusalimia""mxxssiii....khaaa...nilienda nae mdogo mdogo cku nilipomtolea hacra nikamwambia sasa ukitaka nimcal hata mume wako sasa hivi naweza na nikaanza kukuharibia kabla cjamaliza kuharibu mazima tutakapokutana face 2face...nikamtajia na no ya mumewe...msamaha zilifululizo hapo ..".ooh jamani bac yaishe"...anabaki kushangaa no ya mume wake nimeipatia wapi na watu tupo mbali....

Ni vizuri watu waelezwe lugha wanazozielewa na zinaleta maana kwao (which make sense in their stupid heads). Ndio mmana watu wengine bila vagi au viboko somo halipandi kabisa.

Hope Mom atasoma hapa,

Retired Maj Gen DC (1947)
 
Duh! Hapa sitii tena neno!

Kwamba mmeo hapendi kudraft applications, na ex wake naye hapendi kudraft applications!!

What a Coincidence!!

Wanasema 'birds of a feather flock together'. Hii compatibility inamtisha Mom. Lakini anapaswa kukumbuka pia kuna a lot of incompatibility kati ya mumewe na huyo ex, ndiyo sababu hakuoa huyo. Mimi ningemshauri Mom awe na amani tu.
 
Naomba kuwaulizeni nyie wavaa masketi...

Hao Ma-ex wa waume zenu mliwajulia wapi?
Mie leo nimevaa gauni babu but ntakujibu

Tuliwajua kupitia kwa waume zetu............ wengine kwa kuambiwa directly na wengine kwa kuwagundua wenyewe
 
Hivi mie nitakuja kuoa kweli? It seems nimejua too much too soon! Na umri unavyoongezeka ndivyo na woga wa kuoa unaongezeka!

wala usiogope Mtu B, mie natamani ningeyajua haya kabla maana wala nisingeumia ila niliingia kwenye ndoa nikijua ni heaven!
 
Wanasema 'birds of a feather flock together'. Hii compatibility inamtisha Mom. Lakini anapaswa kukumbuka pia kuna a lot of incompatibility kati ya mumewe na huyo ex, ndiyo sababu hakuoa huyo. Mimi ningemshauri Mom awe na amani tu.

Si lazima iwe kweli. Things always have values when they are gone and we can't get them back. Inawezekana waliona kama wana incompatibility ila baada ya kuachana na kuishi na watu wengine ndio walipogundua kuwa walifanya makosa. Zaidi ya hayo watu wengine wanapenda kutunza empire zao ili waweze kupata pa kupumulia endapo wakitamani kubadili mboga/menu.
 
Jamani najisikia wivu sana huyu x anavyozoeana na mume wangu, ameolewa ana mtoto, akihitaji ushauri lazima amconsult mr kwanza, hata kuapply kazi mr amsaidie kuandika barua. Ni wivu tu unanisumbua jamani

soma vizuri signature yako..."[FONT=arial,helvetica][FONT=arial,helvetica]I'm not afraid of storms, for I'm learning to sail my ship[/FONT][/FONT]" so why worry, pambana na situation kwa kumweleza wazi mumeo kuwa hupendezwi na tabia hiyo
 
wala usiogope Mtu B, mie natamani ningeyajua haya kabla maana wala nisingeumia ila niliingia kwenye ndoa nikijua ni heaven!

Mom,

Ndoa bado ni heaven tu, play your part seriously and strictly kama anavyokuaeleza kungwi wetu Nyamayao. Then changanya na zako,.. sisi tunasubiri uje kutupa habari njema kwa "wow wow wo.......the recipe is magic"!!!

Retired Maj Gen DC (1947)
 
inakera sana, halafu huyu X wa mr alitaka kunitengenezea mazingira ya kumwamini, anacall muda anaojickia, utakachoona call c ya kawaida hata kabla hawajasalimiana utackia mr anasema" hallow fulani, eehh nipo home, na wife yupo tumepumzika kdgo, vipi wewe huko"".....na maongezi yatakuwa mafupi sana mpaka utajiuliza amemcal ili iweje na hakuna cha maana walichoongea...mr akimaliza hapo na yeye kutaka kumalizia kunifunga utackia""fulani anakusalimia""mxxssiii....khaaa...nilienda nae mdogo mdogo cku nilipomtolea hacra nikamwambia sasa ukitaka nimcal hata mume wako sasa hivi naweza na nikaanza kukuharibia kabla cjamaliza kuharibu mazima tutakapokutana face 2face...nikamtajia na no ya mumewe...msamaha zilifululizo hapo ..".ooh jamani bac yaishe"...anabaki kushangaa no ya mume wake nimeipatia wapi na watu tupo mbali....

Napenda sana maisha ya Nyamayao...hakuna ambalo hajalipitia....
 
soma vizuri signature yako..."[FONT=arial,helvetica][FONT=arial,helvetica]I'm not afraid of storms, for I'm learning to sail my ship[/FONT][/FONT]" so why worry, pambana na situation kwa kumweleza wazi mumeo kuwa hupendezwi na tabia hiyo

true ndugu am not afraid of the storms ndio maana nimefika hapa, ila wivu juu ya mume wangu unanisumbua!
 
Napenda sana maisha ya Nyamayao...hakuna ambalo hajalipitia....

we hunifikii, huyu dada ni role model wangu to some extent! japo cmjui hanijui naona tumepitia mengi ya kuendana only that ye alikua strong nami nilikua weak!
 
wewe bwana u si wivu ni kwamba unalinda mali yako
nt wivu ata kdg ni hekima na busara kumlinda mumewako
 
we hunifikii, huyu dada ni role model wangu to some extent! japo cmjui hanijui naona tumepitia mengi ya kuendana only that ye alikua strong nami nilikua weak!

Hivi unaweza ukapima streght ya mtu kwa kusoma output ya keyboard yake?
 
wala usiogope Mtu B, mie natamani ningeyajua haya kabla maana wala nisingeumia ila niliingia kwenye ndoa nikijua ni heaven!

Kumbe ungeyajua usingeolewa? Unaiongeza hofu yangu. Yaani sitaki kumwingiza mtu yeyote katika mazingira ya majuto maana itaniweka kwenye guilt kila siku. Je akitokea anayeridhika kuolewa na mimi nimwambie ukweli kuwa nilishakuwa na 5 girlfriends na mmoja wao ni outspoken HIV/AIDS activist aliyetangaza HIV positive status yake hadharani, na tena yuko very popular in the media siku hizi? Nisiposema akija kugundua atasema 'najuta'! Nikisema, hata suala la "tukapime kwanza" hatalitilia maanani, ataogopa unyanyapaa.

Halafu nyie wanawake ndio mnatufanya tuwe na ma-ex wengi. Mi katika exes wangu 5, ni mmoja tu nilimtamkia mimi kumuacha. Wengine walinipotezea kiaina kufuata "opportunities" na mimi sikuwa na hiyana maana mapenzi ni hiyari, na waliporudi na hadithi tofauti walikuta nimefunga milango isipokuwa ya urafiki wa kawaida au hata kunaniliu occasionally walipokuwa hawajaolewa but strictly no strings attached. Sasa leo nikioa bado nina historia ya rundo la exes, ambao nyie akina Mom na Nyamayao hamtaki hata tusalimiane nao!
 
Jamani najisikia wivu sana huyu x anavyozoeana na mume wangu, ameolewa ana mtoto, akihitaji ushauri lazima amconsult mr kwanza, hata kuapply kazi mr amsaidie kuandika barua. Ni wivu tu unanisumbua jamani

Mahawala huwa hawaachani kamwe wanacho fanya nikukumbushia tu yaliyo pita huku wakiganga yajayo.
 
Lazima kuna ki2 si kizuri kinaendelea kati ya mr wako na huyo x wake, tell him 2 stop that kind of closeness otherwise the guyz will recall their memories of some years ago.

Uzoefu unaonesha kuwa wapenzi wa zamani hupotezana tu si kuachana kabisa, so be carefull mama utaambulia matokeo hasi.
 
Napenda sana maisha ya Nyamayao...hakuna ambalo hajalipitia....

Roy...maisha ya ndoa yamenikomaza sana, yamenifanya niwe mgumu ki kweli, kuna wakati nilifikia kukata tamaa baadae nikaona hapana sio kirahic hivi mpaka kieleweke, na kilichochangia zaidi niliingia kwenye ndoa nikiwa na akili ni ya wawili tu...(nyamayao &mr) ckujuaga purukushani zingetokea, akili yangu ile "baby" ya uchumba ingedumu milele bila mikwaruzo....kumbe nilikuwa naota...hata hivyo sasa hivi nimepumua.
 
Lazima kuna ki2 si kizuri kinaendelea kati ya mr wako na huyo x wake, tell him 2 stop that kind of closeness otherwise the guyz will recall their memories of some years ago.

Uzoefu unaonesha kuwa wapenzi wa zamani hupotezana tu si kuachana kabisa, so be carefull mama utaambulia matokeo hasi.

Sasa amkataze asimuandikie barua za kazi au amkataze wasi-recall ya nyuma.....maana kama ni barua ni huyu Mom ndo anayeandika
 
Back
Top Bottom