Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Huyu wa kwako sio mstaarabu, kumbe basi ndiye amesababisha wote tuhukumiwe vibaya. Wengine hatuko hivyo, nakuhakikishia Nyamayao.
sasa ni ngumu kuhakikisha alie mstaarabu na asie mstaarabu....mr alimjua X wangu, na akahic kama ananisumbua kuna cku lilizuka kasheshe la kutosha, kwanini na mie nicjihami na changu kama na yeye anavyojihami na chake?(mie)