Mume wangu kantongoza

.... Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-

YEYE: Darling mambo vipi? Naona tangu jamaa yako arudi umenitosa
MIE: Mbona mie sikufahamu?
YEYE: Hee! kumbe tuko wengi tunaoiba? Njoo basi tukutane hapa Rose garden

Na mengine meeengiiiii.......

hiki kipande ndio kilichonifanya nihisi ulienda huko usiku....

aah nahisi mumeo alikua anakupima ingawa si tabia nzuri kwa mpenzi kufanya hivyo...

pia nawe ni vyema ungempotezea na wala usingeenda huko Rose Garden maana si watu wote wenye nia njema
 
Nilienda kumuona mhusika, kwani sina hiyo right?

kitendochakujipeleka huko umeprove kwa mume wako kuwa u msaliti. Maana kama kweli ulikuwa hauuzi mechi usingeentertain hizo msg, hapo ungempa mumeo imani kuwa umemtunzia.

Sasa humjui(hata kama unadai ulishtukia mchezo) ulienda kumjua ili iweje? Kwa kitendo hicho mumeo atajiuliza ni mara ngapi unaenda kwenye vi-date na wanaume usiowajua na unaiwajua.

Ulichopaswa kufanya mara baada ya kubaini mchezo ni kumuuliza mumeo kama anahusika na hizo msg, then kumpa karipio mtoa msg. (hichi ndicho mume wako alichokitaka, maana alikuwa anataka ajiridhishe kuwa unamtunzia na yupo peke yake kwako.)
 
Lol, Kongosho ingekuwa wewe hapa ungefanyaje? Hebu nipe mauzoefu, maana hapa sina amani kabisa

Mimi huwa namtukana mtu yeyote anayejifanya kunijua endapo hanitajii jina! Huyo mumeo mpole, angeweza kukubadilishia kibao. Au angemtumia rafiki yake ili apate reaction yako.

Ila kitendo alichofanya ni cha kitoto, ingekuwa kipindi cha uchumba sawa; lkn sasa what is he looking for?
 
Last edited by a moderator:
Usijali my dear, ni mambo ya kawaida tuu kwenye jamii yetu hii. Back to the topic mwenzio sina amani sasa, nifanyeje? Ushauri wako

bombu ulikosea kwenda kwenye miadi. Ukubali usikubali, tunachezewa sana kwenye simu, mtu anajifanya anakujua na kukuambia ukampokee airport etc.

Siku hizi pia kuna matapeli wamewaliza wengi, hivyo usijifanye mpelelezi.

Mwisho shukuru Mungu mumeo mpole, ungepata psycho fulani, pangekuwa padogo!

If u want to learn something, this is what u should take as a lesson today!
 
Last edited by a moderator:
hiki kipande ndio kilichonifanya nihisi ulienda huko usiku....

aah nahisi mumeo alikua anakupima ingawa si tabia nzuri kwa mpenzi kufanya hivyo...

pia nawe ni vyema ungempotezea na wala usingeenda huko Rose Garden maana si watu wote wenye nia njema

Asante kwa kuelewa, mie sikwenda kwa sababu nlitaka mahusiano hayo bali kwa sababu nlitaka kumjua huyo anenchezea akili
 
bombu ulifanya kosa kukubali miadi na mtu usiyemfahamu, wakati unajua kabisa nia yake. Nakwambia kweli mumeo ameshajua mkewe ni wa aina gani. Mshukuru Mungu kwa kuwa mumeo ni mpole na inaonesha anakupenda. Kwa mwingine hii ingekuwa kesi kubwa. Halafu ungefanya vizuri kama ungeleta hapa jamvini wakati ulipokuwa unapokea vile vimeseji ili wenye mauzoefu wakusaidie, sasa umeleta wakati movie imeisha, tena imeisha vibaya maana stelingi kauawa. Pole, najua hapo ulipo unatamani movie ianze upya. Chukua hilo kama fundisho. Siku nyingine FIKIRI KABLA YA KUTENDA.
 
Last edited by a moderator:
kitendochakujipeleka huko umeprove kwa mume wako kuwa u msaliti. Maana kama kweli ulikuwa hauuzi mechi usingeentertain hizo msg, hapo ungempa mumeo imani kuwa umemtunzia.

Sasa humjui(hata kama unadai ulishtukia mchezo) ulienda kumjua ili iweje? Kwa kitendo hicho mumeo atajiuliza ni mara ngapi unaenda kwenye vi-date na wanaume usiowajua na unaiwajua.

Ulichopaswa kufanya mara baada ya kubaini mchezo ni kumuuliza mumeo kama anahusika na hizo msg, then kumpa karipio mtoa msg. (hichi ndicho mume wako alichokitaka, maana alikuwa anataka ajiridhishe kuwa unamtunzia na yupo peke yake kwako.)

Dah! Hiyo ni hukumu yako. Lakini lazjma uelewe kuwa nilimpa karipio lakini hakuacha, so na mie nkaamua niplay along, lol. Sasa kama yeye ndo alitaka kunifumania na yeye mwenyewe mie nimfanyeje?
 
Mimi huwa namtukana mtu yeyote anayejifanya kunijua endapo hanitajii jina! Huyo mumeo mpole, angeweza kukubadilishia kibao. Au angemtumia rafiki yake ili apate reaction yako.

Ila kitendo alichofanya ni cha kitoto, ingekuwa kipindi cha uchumba sawa; lkn sasa what is he looking for?

Kaunga my dear, watu hutufautiana , mie sina tabia ya kumtukana mtu. Hivyo nlijitahidi kumkaripia kistaarabu lakini yeye aliendelea kusisitiza kuwa tumekuwa wapenzi kwa muda wote ambao mume wangu alikuwa nje kitu ambacho si cha kweli. Hii ilinijengea hali ya kutaka kumfahamu huyo mtu, na vile alionekana kunifahamu hadi mahali ninaishi
 
Last edited by a moderator:
bombu ulikosea kwenda kwenye miadi. Ukubali usikubali, tunachezewa sana kwenye simu, mtu anajifanya anakujua na kukuambia ukampokee airport etc.

Siku hizi pia kuna matapeli wamewaliza wengi, hivyo usijifanye mpelelezi.

Mwisho shukuru Mungu mumeo mpole, ungepata psycho fulani, pangekuwa padogo!

If u want to learn something, this is what u should take as a lesson today!

Asante Kaunga, I truly have learnt a lesson, i'll take yours as an advise.
 
Last edited by a moderator:
bombu ulifanya kosa kukubali miadi na mtu usiyemfahamu, wakati unajua kabisa nia yake. Nakwambia kweli mumeo ameshajua mkewe ni wa aina gani. Mshukuru Mungu kwa kuwa mumeo ni mpole na inaonesha anakupenda. Kwa mwingine hii ingekuwa kesi kubwa. Halafu ungefanya vizuri kama ungeleta hapa jamvini wakati ulipokuwa unapokea vile vimeseji ili wenye mauzoefu wakusaidie, sasa umeleta wakati movie imeisha, tena imeisha vibaya maana stelingi kauawa. Pole, najua hapo ulipo unatamani movie ianze upya. Chukua hilo kama fundisho. Siku nyingine FIKIRI KABLA YA KUTENDA.

Asante kwa ushauri dear, yaani hata mwenyewe imenigharimu furaha yangu ktk ndoa. Kwa sasa ninafanya juhudi kubwa kumuaminisha kwamba am all his lakini kwa kuwa sijui yeye anifikiriaje, nakosa amani
 
Last edited by a moderator:
Asante my dear Rejao, nlikuwa nalea mie nilitaka nimjue huyo mtu, kwani sikuwa na uhakika zaidi kuwa ni yeye au ni mtu ananchezea akili.

Acha kutuzuga bidada.....wangapi wanalea na huku wanabanjuliwa mitaani....na hata maofisini bana....wewe yaonekana utulivu ndani ya ndoa ...below 50%. am so sorry kama utakwazika ila nashawishika kusema hivyo kutokana na maelezo yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom