Wakuuniandikayo hapa ni ya kweli kabisa nayo PITIA ndani ya nyumba,
Tunaishi Pomoja ila nyumba haina furaha mwanzo mwisho, kila mtu sahiv anachepuka atakavyo, upendo hamna kila leo kwa nyumba ni ugomvi.
Kwanini hatujaachana :
Sababu Inayo tufanya tusiachane ni Hawa machalii wetu wawili wadogo,
Sababu ya pili namtumia kama mlinzi maana. Hapa nilipo ni kwangu mimi ni mtu wa shughuli za hapa na pale so wakat mwingine na kuwa Sipo home kwa hiyo na kuwa na uhakika kuwa nyumbani yupo mtu na watoto wapo salama,
Pia nikiwa mwenyewe home usiku kama mwanamke kwa mazingira ya Arachuga ni Balaa, majambazi usiku si wa kusogelea vijana huku kuua ni kawaida.
Kwanini Karuhusu niwe na mwanaume mwingine :
Nimekuwa nahitaji mizigo mara kwa mara na mwezangu hay upo hivyo Sijajua ni uvivu au asili yake, na mara nyingi hupenda Kulala chumba ingine alone,
Enzi tunakutana:
Miaka 6 nyuma tulikutana nae Kitaa kimoja, siku ya pili tu kakutana nae kwenye kigrosasry cha hapo kitaa Mi napiga kilimanjaro yeye nyagi anachanganya na safari, kazungusha rounds nimeshiba nikasepa, kesho yake anakuja anamuuliza stela (muhudumu) vipi Ras hajatinga leo akajibiwa bado, fanya basi Mchakato aje, Sina hili wala lile MI naenda zangu kwa stela kupiga maji na kutana nae ananichangamkia piga maji akachukua namba basi tukajenga urafiki mwisho Wa siku mahusiano,
Inaendelea
Sijui alinipendea nini ila Pomoja na yote Nilikuwa simsimbui na chenji chenji maana Nilikuwa njema sana kwenye cash na yeye alilitambua hilo mapema, na style yangu ya maisha pia alijua ni msomi kiasi maana hayo yote sikumuambia ila aligundua tu siku zilivyozidi Kwenda,
Kwanini nilimpenda,? Mwili wa mazoezi urefu na upole wake ulinimaliza,
Anaanza kuniogopa sababu alichotegemea sicho, upole wangu wa nje haukuwa hivyo kitandani maana sio kwa Sarakasi zile maana nikianza ni hadi panakuchwa, kiuhalisia rounds kumi kwangu ni kawaida na sioni tatizo, jamaa kaona sio kawaida kuachana anataka kuendelea anataka
Inaendelea