Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Huyo hajaibiwa, kajiiba.

Majibu unayo alafu bado unauliza maswali. Anza maisha yako na hiyo elimu ikusaidie kujikomboa kiuchumi.
 
bora huyo kawa mkweli na muwazi na analolitaka kuliko angedanganya anakupenda kumba ana nyumba ndogo. we sepa tu, anza maisha yako kivyako
 
bora huyo kawa mkweli na muwazi na analolitaka kuliko angedanganya anakupenda kumba ana nyumba ndogo. we sepa tu, anza maisha yako kivyako

nyie mkiambiwaga ukweli ndio mnaona hampendwi!

sasa huyu mwenzenu pamoja na kuwa katiba ya jamhuri kichwani lakini kashindwa ku-react mbele ya mtoto wa kidato cha nne.

ama kweli love is blind..! ama kwa kiswahili.. mapenzi ni uchafu! teh..!
 
Ahsante kwa ushauri muruwa, nadhani ataelewa kwanini umenimention na atachukua hatua chapchap sana.

Hakika wewe ni ndugu yangu wa ukweli.


ooonh yes hapa OPD ukimpeleka mgonjwa ward sio basi kesi!!!!!!
Huko wodini nilikomuelekeza hata kama ana cyst yalee mambo yatarudi normal
 
No one can steal anyone who was not ready to be stolen... chapa lapa songa mbele
 
dada nyamlega, we endelea na maisha yako ndugu binadamu hubadilika. ni bora umegundua mapema so usiumize sana kichwa
 
Huo ni upande wake,yawezekana pia ww ndie mkorofi,umechangia jamaa kuchukua hayo maamuzi,ulifika chuo ukawa hukamatiki,hushkiki,hupokei sim zake na nyodo za hapa na pale.

Binafsi mi naamin wewe ndie chanzo cha huo mgogoro,mme wako kaamua kuchagua njia nyingine,wewe unaanza kulaumu,je wewe ulikua unatimiza wajibu wako kama kipindi ambacho hujaenda chuo?kwa uzoefu wangu,wewe ndie tatizo.
 
Muonee huruma mwenzako kaibiwa mume inabidi tumsaidie kufungua search warranty.
Cc Kongosho

Nahisi kama alikurupuka kuolewa hivi....ndio maana nimemuuliza maswali yale nikadirie umri wake
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.

Kichwa kinasema "Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni", mtu anaweza adhani kuwa labda walikuja watu wakamwibia tuseme kitu kama pesa hivi akiwa nyumbani wakati wewe haupo. Hapa mi nadhanu ungeandika kuwa umenyang'anywa mume. Hata hivyo pole sana mama yangu
 
jembe, hivi kweli wewe utakuja kupata tatizo na uombe ushauri au wewe ndie malaika mleta shida? tafakari ulichocomment na mada yenyewe kama ni sawa.
naenda sokoni

ni sawa kabisa mimi nimeona aondoke ya nini kujipa shida wakati maisha bado yanaendelea ..... wewe ndo utakuwa mleta shida
 
Back
Top Bottom