Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

"Tulipo endelea, tuliwaona maelfu ya watu kwenye
mateso,Wakati roho inapo mwona Bwana,
zilijitahidi kumfikia kwa mikono isiyo na
ngozi.Nilimwona mwanamke aliye anza kupiga
makelele alipo mwona Bwana Yesu. Alilia, "Bwana
tafadhali nirehemu! nitoe mahali hapa!" Alikuwa
akiteseka sana na aliunyoosha mkono wake kwa
Bwana.Aliendelea kumwomba Bwana amtoe eneo
lile hata kwa sekundr moja.
Alikuwa yuu uchi kabisa na alifunikwa na tope.
Nywele zake zilikuwa ni chafu na minyoo ilikuwa
ikijongea mwilini mwake .Alijaribu kuiondoakwa
mikono yake lakini kila alipo mwondoa mmoja
mingine ilijizisha zaidi.Minyoo ilikuwa na urefu
karibu inchi 6-8.Neno la Bwana linasema katika
Marko 9:44, "Ambamo humo funza wao hafi, wala
moto hauzimiki."
Ilikuwa ni ya kutisha sana kumwona mwanamke
huyu na kusikia kilio chake kwa jinsi minyoo ile
kwa hasira ilivyo kuwa inaila nyama za mama
huyu. Kulikuwepo na bango la chuma lililo kifuani
mwake ambalo lisingeweza kuharibiwa na moto.
Lilisomeka , "Nipo hapa kwa ajili ya Uzinzi." Kwa
jinsi ile ile ya dhambi yake, mwanamke huyu
alilazimishwa kufanya uzinzi kuzimu na nyoka wa
kutisha mnene..Nyoka huyu alikuwa na miiba
mikubwa kuuzunguka mwili wake, ni kama ya
uerfu wa inchi 6-8 hivi.Nyoka humwingia mama
hyu sehemu zake za siri na kusafiri hadi mwilini
mwale hadi kwenye koromeo lake. Nyoka alipo
mwingilia hivi, alianza kulia kwa makelele .
Alimwomba Bwana kwa nguvu sana amtoe eneo
lile, "Bwana, nipo hapa kwa ajili ya uzinzi,
nimekuwepo hapa kwa miaka 7, tangu UKIMWI
ulipo niua. Nilikuwa na wapenzi sita6, na nipo
hapa kwa ajili ya uzinzi." Kule kuzimu alitakiwa
kuirudia dhambi yake tena na tena.
Hakuna kupumzika usiku na mchana, akiteseka
kwa jinsi ile ile kila mara. Alijaribu kuunyoosha
mkono wake kwa Bwana, lakini Bwana
alimwambi, "Blanca, kwako tayari umechelewa.
Minyoo itakuwa ni kitanda chako, na minyoo
itakufunika." (Isaya 14:11) Wakati Bwana alipo
sema maneno hayo, blanketi la moto lilimfunika,
na siku mwona tena."
TUACHE ZINAA TUFUNGE NDOA NI UJUMBE KWA
VALENTINE DAY

Lusungo hii ndiyo signature yako????
 
Kwani we na mmeo dini gani nafasi yako bado ipo utabakia kuwa mke mkubwa na mwenzio atakua mke mdogo

kwani Babu ni wa dini gani mbona nae ana wawili kama yule wa mjengoni?
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.
Shosti Pakacha kuvuja nafuu kwa mchukuzi,najua kama roho itauma lakini niamini afadhali maumivu ya sasa kuliko angekuchokoa roho baada ya kuku oa,sasabasi jikaze kike na usilipe kisasi anza maisha yako mapya na kumbuka ndoa
inaandikwa mbinguni...
 
Rudi zako chuoni katafute msomi mwenzio bora amekwambia live kuliko angekupotezea muda kujua mtu anakupenda kumbe anakung'ong'o, jiondokee mwaya japo roho inauma
 
Sasa huyo asiyetaka msomi wa degree anaweza kataka hata mambo ya skype??
Huyo ni boifrend au mume halisi?

Labda ulikua hujishuhulishi kumkeep busy na maskype mpaka akajiona yupo solo bora aoe
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.

Kaibiwa nini? au kaibwa?
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.

Love is like a rubberband held at both ends by two people such that when one leaves...it hurts the other, in this case ur the victim, my advice to you is to move on because the only person u need in ur life is that one who proves he needs you also in his life and in ur case he doesnt need u anymore. It pains but u should move on!
 
habari wana jf.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
Yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.
maswali yangu ni haya
1. Je ulizaa nae ?
2.mna watoto wangapi

ushauri:
Kama hujazaa nae tupa jiwe nyuma kung'uta mavumbi songa mbele tena wanume wa hivyo ni hovyo kabisa atajifanya mkali kila kitu kwa sababu ya infiriority complex
huyo mume sio bora kama elimu uliyoipata.huyo sio mwanaume hata kidogo kama una watoto fuata sheria awatunze kama mlichuma fuata sheria kupata haki yako kama ni kidogo mwambie umempa zawadi vunja ndoa songa mbele tena mwombe mungu akupe mwanaume wa hadhi yako huyo kisaragosi tupa kule .
 
Sasa huyo asiyetaka msomi wa degree anaweza kataka hata mambo ya skype??

Huyu njemba alikua ana yake au kuna long story kati ya hawa wanandoa

Asitake kutuaminisha kweli degree haimtunzi mume

source:da sophy
 
huyu mchungaj ame2mwa nin kuja ku2harbia thrend yetu-USHINDWE na ULEGEE
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.

Ni PM nkupe pumziko la nafsi
 
Mume kaibiwa? Na nani? Mwanaume haibiwi bwana huyo ni mtu mlzima kajumlisha mbili na mbili kapata nne. Mshukuru MUNGU kwa kila jambo mwachie yeye atafanya njia.
 
Mmeo aliathiriwa na mfumo dume na hivyo akawa na waiswasi wa kushindwa kukumiliki kwa maana ya maamuzi akahisi kama atapoteza mamlaka ya ubaba wa familia.

Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.
 
Back
Top Bottom