Extraordinary
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 541
- 178
huyo hubby wako hajitambui hata kidogo, angaliaa usijeambukizwa magonjwa coz anaonekana kutapatapa sana.. kashindwa kutofautisha degree na mwanamke.
Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.
Habari wana JF.
Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.
Nisaidieni jamani.
Shukuru Mungu huwezi jua kakuepusha na mengi, anza ukurasa mwingine.
well saidUnasubiri nn sasa?kakuweka wazi sepa,hujazaliwa nae,wa kwako yupo usilazimishe usipotakiwa!
labda huyo ndo wa kwanza aliyembikiri.. huwezi jua alishaacha kila kitu kwake!
kulirefresh maisha nako ni kazi..!! hilo donda halitibiki kirahisi!
Ni kweli ila wakati mwingine inabidi kufanya maamuzi magumu na yakuumiza, huwezi jua kuna sehemu bora zaidi ya hapo.
Habari wana JF.
Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.
Nisaidieni jamani.
Sasa kwani unadhani sisi ndo hatutaki mapinduzi ya kiuchumi eeeh?