Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

Wanaume ni sawa na siti kwenye daladala, anasimama mwingine anakaa. Always Mungu ndiye hupanga mume au mke wa mtu. Using'ang'anie ndugu yangu huwezi jua Mungu anakuepushia nini!!!! Is not the only fish in lake, you will catch another fish, jipe moyo keep praying Mungu akupe mume toka kwake, mwenye mapenzi ya dhati na atakayeyafuta na kuondoa huo uchungu ulionao.
 
pole bestito kwa maswaihibu yaliyokupata
kweli nimeamini wanaume si watu ni :shock:
kabisa tena hawana huruma, kwenda
kuongeza ujuzi kwa ajili ya familia yenu yeye
kaona wivu kaona afanye uzinzi ndani ya ndoa?

Hapo bestito bora umejua mapema kiasi hicho
huiyo alikuwa hakupendi alitaka kutafutia jambo
tu ili aachane na wewe mwaya besti nenda kwa
KASISI wenu aliyewafungisha ndoa peleka hayo
malalamiko yako, kisha nenda kwenye vyombo vya
kuwatetea wanawake na watoto akupe kiilicho chako
usepe kimpango wako usiendelee kuumia wakati una watoto
wa kukuliwaza ondokana na huyo takataka atakuchafua
kwa magonjwa yake, mwache ipo siku atapata fundisho
kwani malipo yako hapa hapa duniani unapomfanyia unyama
mwenzio jua nawe utatendwa hivyo hivyo, ACHANA NAYE BEST



Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.
 
What I know is a man can not be stolen...he was just ready to leave simply cz he was never yours! Mshukuru Mungu kwa kukuondolea hiyo "stress ya maisha"! Mumeo wa kweli yupo njiani anakuja!
 
lusungo please kuwa mstaarabu kuweka maneno haya kwa kila mtu unaleta usumbufu kwa watu tunaotumia simu kuendelea kusoma kitu hicho kila muda kama unazani ujumbe wako ni mahususi kwa mtu fulani mtumie pm au anzisha thread kama wengine.
 
Last edited by a moderator:
He dada unataka mpaka akumwagie tindikali ndiy uamin dat hakutaki..weka nguv kweny kaz zako and naamin huko kuko utanipata nikufaaye.
 
][/B]nyie mkiambiwaga ukweli ndio mnaona hampendwi!

sasa huyu mwenzenu pamoja na kuwa katiba ya jamhuri kichwani lakini kashindwa ku-react mbele ya mtoto wa kidato cha nne.

ama kweli love is blind..! ama kwa kiswahili.. mapenzi ni uchafu! teh..!

Ukweli wa kuambiwa kwamba hupendwi, unauma sana. lakini ni bora mtu awe muwazi mapema kuepuka kupotezeana muda.
mume wa kidato cha nne, wkt mke una digrii!! duh, yataka moyo.
 
Habari wana JF.

Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.

Nisaidieni jamani.
Pole sana
 
"Tulipo endelea, tuliwaona maelfu ya watu kwenye
mateso,Wakati roho inapo mwona Bwana,
zilijitahidi kumfikia kwa mikono isiyo na
ngozi.Nilimwona mwanamke aliye anza kupiga
makelele alipo mwona Bwana Yesu. Alilia, "Bwana
tafadhali nirehemu! nitoe mahali hapa!" Alikuwa
akiteseka sana na aliunyoosha mkono wake kwa
Bwana.Aliendelea kumwomba Bwana amtoe eneo
lile hata kwa sekundr moja.
Alikuwa yuu uchi kabisa na alifunikwa na tope.
Nywele zake zilikuwa ni chafu na minyoo ilikuwa
ikijongea mwilini mwake .Alijaribu kuiondoakwa
mikono yake lakini kila alipo mwondoa mmoja
mingine ilijizisha zaidi.Minyoo ilikuwa na urefu
karibu inchi 6-8.Neno la Bwana linasema katika
Marko 9:44, "Ambamo humo funza wao hafi, wala
moto hauzimiki."
Ilikuwa ni ya kutisha sana kumwona mwanamke
huyu na kusikia kilio chake kwa jinsi minyoo ile
kwa hasira ilivyo kuwa inaila nyama za mama
huyu. Kulikuwepo na bango la chuma lililo kifuani
mwake ambalo lisingeweza kuharibiwa na moto.
Lilisomeka , "Nipo hapa kwa ajili ya Uzinzi." Kwa
jinsi ile ile ya dhambi yake, mwanamke huyu
alilazimishwa kufanya uzinzi kuzimu na nyoka wa
kutisha mnene..Nyoka huyu alikuwa na miiba
mikubwa kuuzunguka mwili wake, ni kama ya
uerfu wa inchi 6-8 hivi.Nyoka humwingia mama
hyu sehemu zake za siri na kusafiri hadi mwilini
mwale hadi kwenye koromeo lake. Nyoka alipo
mwingilia hivi, alianza kulia kwa makelele .
Alimwomba Bwana kwa nguvu sana amtoe eneo
lile, "Bwana, nipo hapa kwa ajili ya uzinzi,
nimekuwepo hapa kwa miaka 7, tangu UKIMWI
ulipo niua. Nilikuwa na wapenzi sita6, na nipo
hapa kwa ajili ya uzinzi." Kule kuzimu alitakiwa
kuirudia dhambi yake tena na tena.
Hakuna kupumzika usiku na mchana, akiteseka
kwa jinsi ile ile kila mara. Alijaribu kuunyoosha
mkono wake kwa Bwana, lakini Bwana
alimwambi, "Blanca, kwako tayari umechelewa.
Minyoo itakuwa ni kitanda chako, na minyoo
itakufunika." (Isaya 14:11) Wakati Bwana alipo
sema maneno hayo, blanketi la moto lilimfunika,
na siku mwona tena."
TUACHE ZINAA TUFUNGE NDOA NI UJUMBE KWA
VALENTINE DAY
Hatuhitaji maandishi ya mchongo humu wala hatutaki kuishi kwa hadithi za kufikirika
 
Back
Top Bottom