Serikali3
Senior Member
- Jun 8, 2014
- 110
- 74
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.
Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.
Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.
Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app