Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Serikali3

Senior Member
Jun 8, 2014
110
74
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo mpweke utaujua tu. Huu ni usiku wa manane kasoro, mtu analeta masuala ya talaka ili aolewe tena.
Anyway mamaaaa, pole sana. kwa sasa ningeshauri upambane kulea watoto wako, mambo ya mapenzi potezea kwanza. Malezi ya watoto kwa sasa yanahitajika sana, kumbuka hawaishi na baba yao, sasa unataka kuwaletea baba wa kambo! Huwezi jua huyo unaetaka kumtafuta atakuwan na makucha gani.
 
aaaaaaaaagriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sioi kwa mbanga hizi ? yaani unataka kuharakisha zoez ili ukakulane kwingine ? :) jamaa akaze hapo hapo wewe kulana kwa kujiiba tu talaka hupati muone

kanisani ulisemaje ? leo wasemaje ?

jamaa uliko kazaa hata kama maumbile huna :) hahahahahahahahah eti maumbile means before hukunotice ? ee
 
Hauna muda?

Nafikiri hii pia ni sababu ya ndoa yako kuvunjika.

Naamini jamaa hajaua mtu, anafaa kusamehewa. We all deserve second chances, don't we?

Kama kweli jamaa bado anakuhitaji after 8 years apart, kuna real love somewhere!

Unaweza ukahisi wanao wanapata kila kitu. Lakini kulelewa na mzazi mmoja pekee sio kitu kizuri.

Itafika wakati watamchukia mmoja kati yenu.

Wanaume hatutabiriki dadaangu. Unaweza jikuta unaangukia mikononi mwa mtu mbaya kuliko mumeo!

Mnatakiwa mpambane kuungana, sio kutengana. Give it one more try, fight for your family!

- KANA -
 
sipend maushauri yanamna hii!umeingia kwenye kiatu cha mtoa mada ww! had akaja hapa sio mchezo!ingia kwenye kiatry chake then toa ushauri!pole sana mtoa mada! nakuelewa sana! pole !SIMAMA KISHUJAA!
 
Kama hutajali hebu hapo kwenye rangi fafanua. Usiendekeze kazi kuliko amani ya moyoni mwako. Fungua kesi ya kudai divorce pia katika madai hayo usisahau kuweka ushahidi wa huyo jamaa kudai atakufanyia fujo. Mwajiri wako sidhani kama atakunyima masaa machache au hata siku nzima kwa wikiya wewe kwenda mahakamani kutafuta kile ukitakacho. Ila watoto kama wamevuka miaka 7 ujue anaweza kuanzisha varangati la kuchukua wanae. Hii sheria ya watoto wakishafika miaka 7 ni wa baba mimi naipinga sana lakini sasa ndiyo sheria ya nchi hivyo ujue kuna uwezekano wa hili labda kama kuwepo na ushahidi kwamba hana uwezo wa kuwatunza watoto mliojaliwa.

Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

nimejaribu kumshawishi tufile petition for doivorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo ntajaribu kufanya madai hayo kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divirce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once!

sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sipend maushauri yanamna hii!umeingia kwenye kiatu cha mtoa mada ww! had akaja hapa sio mchezo!ingia kwenye kiatry chake then toa ushauri!pole sana mtoa mada! nakuelewa sana! pole !SIMAMA KISHUJAA!
Last time I checked, no one was telling me what I should say!

Rudi kule kwenye Uzi wenu ambao unatuhumiwa kuigiza kua mwanamke.

- KANA -
 
kea maongezi haya manare tatizo lako ni maumbile ya jamaa..alikuwa hakutoshelezi.....sasa unataka ugongwe vizuri umeshaonja asali unataka kuchonga mzinga...lakini hautapata kama huyo jamaa.....hilo ni zimwi likujualo.....
 
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

nimejaribu kumshawishi tufile petition for doivorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo ntajaribu kufanya madai hayo kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divirce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once!

sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unawaza kubomoa ukuta uliojenga mwenyewe
Kama ameomba msamaha mrudie mulee watoto mmugomvi wako usisababishe watoto wakakosa malezi ya baba, watoto wanaumia sana wanavyolelewa na mzazi wa kufikia kisa ww umeshindwa kusamehe

sizonjemadawa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom