NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,299
- 1,809
Uzi ulitakiwa uishie hapa ,pengine mume hakutoa baraka za kuanzisha hiyo BiasharaUliongea na mumeo kuhusu iyo biashara?
Alikuruhusu Uifanye ?
Polesan jaribu kuongea nae ila kuhukumu upande mmoja nayo sio vizuri
Hivyo anaishi na tasfiri yake kwamba unafanya unaingiza kipato hivyo ujikimu,
Mwanzo alitoa hela kwa sbb hukuwa na kazi
Kutokana na kazi Kuna majukumu mengine hutimizi vizuri.
Ukikaa naye kwa upendo mkoongea Kama Wana ndoa atakuambia na mwisho utamjenga akikataa achana na biashara hiyo uza peleka rejesho kodisha banda lipa ongezea kwenye rejesho
Urejeshe amani ktk ndoa yako.
Wanawake wengi siku hizi wawajui kuongea na mabwana zao kwa heshima na kimahaba katika kuweka Mambo sawa au kuomba ruhusa flani flani wanaona wanaweza kuamua bila kupangiwa au kuelekezwa
NB: Baba ni mtawala wa Nyumba ipo hivyo haitaji maswali Wala majadiliano .
Mwanamke akijua hili kifo ndio kitawatenganisha