Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Wajibu namba moja wa mwanaume ni kulisha familia yake.Hilo ni Paka pori vunja hiyo ndoa haraka sana.
Atafanya haya mpaka lini?. Ndio atakuwa ametatua tatizo?. Mpeni mwenzenu permanent solution 😀.Mambo ya nyumba yanahitaji hekima sana, na wakienda jino kwa jino, jahazi halifiki bandarini lazima watagawana mbao.Very simple,jilie zako kabisa mgahawani,ukirudi nyumbani we Unakunywa maji tu,......dogo mbebee kwenye contena kidunchu
Kwanini usingeolewa na tajiri ona sasa dada unavyotapa tapa au ulisindikiza mapenxi ya kweli sio eehHabari zenu?
Poleni na majukumu ya kila siku, swali langu ni kwamba je ni sahihi mwanaume kutokuacha hela ya matumizi nyumbani? Binafsi nina miezi miwili toka nifungue biashara...
bad enough wameshakua na mtoto atakayeumia ni mtotoAtafanya haya mpaka lini?. Ndio atakuwa ametatua tatizo?. Mpeni mwenzenu permanent solution 😀.Mambo ya nyumba yanahitaji hekima sana, na wakienda jino kwa jino, jahazi halifiki bandarini lazima watagawana mbao.
Weka mpesa namba tukuchangieHabari zenu?
Poleni na majukumu ya kila siku, swali langu ni kwamba je ni sahihi mwanaume kutokuacha hela ya matumizi nyumbani? Binafsi nina miezi miwili toka nifungue biashara ya mgahawa hata bado haijachangamka ila toka nifungue Mume wangu hataki kuacha hela ya matumizi kama mwanzo wakati mtaji wenyewe alikataa kunipa, nimekopa sahivi nina kazi ya kulipa madeni na kulisha familia, tuna mtoto mmoja.
Kwakweli hili swala linaniumiza sana akili, nikimuuliza anadai hali ni ngumu hana hela wakati kabla sijaanza hii biashara alikuwa kila asubuhi anaacha elfu 10 mezani. Naombeni msaada wenu vipi hili Jambo ni sahihi au siyo sahihi?
Mkuu,Hivi wenzangu nyie Ndoani kwenu, Hela ni Kila siku inaachwa Asubuhi mezani ?.
Mimi Bajeti ya Chakula naifanya Kwa mwezi, na nikitoa naitoa jumla , sitoi Kwa mafungu mafungu .
Nachotaka Chakula kisikosekane Wala kelele za Sijui Hela vile Mara vile
Yes kama Mwanaume , Kuna Hela zile za hapa napale ambazo pia hunifanya Kila siku nikiwa narudi home niwe na kitu mkononi.
Siku Nikikuta Chakula hamna, au wagen wangu au Ndugu wangu hawajala,, itakua ndio tiketi ya kumpeleka kwao akufunfishwe tabia Kisha aolewe na mwanaume mwingine .