Hapana hata watoto wana nafuu kubwa mnooo.Wa hivi ni wa kudhraulika kama watoto wadogo
Bora mtoto unajua atakua ataacha lakini hawa na mindevu imewajaa hawaoni hata aibu kujifanya malaikaHapana hata watoto wana nafuu kubwa mnooo.
Ushauri wa nn ss wakati tayari umepata suluhishoo endeleaaaaaHabari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Naanza kuilewa thread uliyoileta juu ya wanaume wanaopenda mabikira. Hii stori ni mfano mzuri wa kile ulichokielezea.Ushaambiwa kaongea naye lakini mume anasema tatizo ni mke. Ni mbinafsi.
Juu ya hapo ana matatizo ya nguvu. Bado wote mtamlaumu huyu mama kwamba hampikii .
Shida zote za nini! Angejuaga ana hayo matatizo na harekebishiki angemuachaga zamani. Lawama zote kwake sasa. Mfume dume!
Unasema tunapoteza bikra bure, kwahiyo ulitaka tuolewe na bikra ili tusijue haya matatizo. Yale yale niliyosemaga!!
Hivi kama shughuli hamna unaolewa nini? Hela? Au huku Duniani umekosa wa kuongea nao unaolewa upate wa kupiga naye soga?
Nitumie namba yako ya simu no pmHabari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Napenda misamiati yenu warembo wa jf kama hiyo Undimbilike uhondomolwe utifuliwe utafunwe nk dah hatari sana .Hilo kweli goigoi......tupa kule......tafuta faraja ya moyo wako.......raha ya ndoa undimbwilike kisawasawa........
Kuna watu wengine mnataka ushauri wa ndotoni.Habari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Mbona kama umeshachukua hatuaa tayar tukushaur kip tenaa ww endelea kukunwa outsideHabari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Ni zaidi ya majanga.Bora mtoto unajua atakua ataacha lakini hawa na mindevu imewajaa hawaoni hata aibu kujifanya malaika
Asante sana.Naanza kuilewa thread uliyoileta juu ya wanaume wanaopenda mabikira. Hii stori ni mfano mzuri wa kile ulichokielezea.
Mtaji kiuno....Hilo kweli goigoi......tupa kule......tafuta faraja ya moyo wako.......raha ya ndoa undimbwilike kisawasawa........