MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
hii nimeitoa hapa http://beautytouchdar.blogspot.com/2010/01/nisaidieni-ndugu-zangu-nahisi.html
sasa naona hii dometic violence imezidi jamani...stori ya Babra, haya huyu naye tena...sijui wanajamvi mnamshaurije?
Jamani nimesoma hii habari nasikia mapigo ya moyo yanaruka. Ah enyi waume mbona mnatuponza? Nyie wanaume mnaopenda kusimulia mambo ya wake zenu kwa marafiki mnaona sasa? Maana jamaa anadai mbona marafiki zake wanapewa na waume zao?- jamani
Halafu huyu dada mie............. sijui nisemeje eti anadai aliogopa kusema kwa kuwa aliona atamuaibisha mumewe- mume gani huyo? MUAIBISHE TU TENA IKIWEZEKANA NENDA KAMSHTAKI MAHAKAMANI NDO AAIBIKE VIZURI MNYAMA HUYO.
Vile mwenyewe hayupo hapa maana nina maswali mengi ya kumwuliza kuliko majibu.
nimechoka