Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

Mie nadhani swala zima hapo ni kuwashirikisha wazazi au afanye mamuzi ambayo hatakuja kujutia baadae kuondoka /au !!
..Ushauri wangu huyo dada hana haja ya kubembeleza taraka wala nini. Huyo si mume ni kicheche la kufanya aende kuomba taraka mahakamani na lazima atatakiwa kueleza sababu za kutaka taraka aseme ukweli. na once akilifikisha suala hilo makahamani asirudi tena kwa huyo jamaa hata kama ni kwa kuombwa na malaika mpaka mahakama itakapotoa taraka na si vinginevyo.period...
 
Unaweza kuandika kwa kiswahili hapo nilipokoleza maandishi! halafu tuendeleee
kuna baadhi ya watu humu na mambo yao you just have to potezea them!!! mwisho wa siku watu tutoke kwenye mada tuanze kulumbana kwa huo upuuzi.

Masa wachana naye !!!!
 
Mi kuna kitu huwa najiuliza, ivi ni lazima upewe talaka ndo uondoke mahali unakonyanyasika!! Si uondoke tu talaka baadae ikibd akae nayo kwa mtaji huo..mtapeana hata mahakamani mbele kwa mbele!!!...sisi wanawake tuna shida jmn!!

Nina wasiwasi sana
Ndoa za siku hizi wanaooana kwa kupendana wachache sana!! Wengine wanakuwa hata wamediliki kuwablackmail ma gf wao kuwa wawape tg ndo watangaze ndoa! Wengine wakiambiwa na marafik zao kuwa wake zao wanawapa anaoa akapate icho anachofikir!! Kama huyu!! How dare someone in his day one! Honeymoon disturbin her wife kuwa anataka tg!??? Na kulazimisha wakati mwenzie hataki!! But hawa ni wanaume wachache washamba wanaochukua kila wanachoambiawa mtaani!! Wakati nasoma thread ya bwabwa nilifarijika kuwa kumbe majority wana kemea swala hili!! But kumbe kazi bado ipo jamani! Enyi wanaume inakuwaje wenzenu(wanaume) hawapendi jambo hili wakati wengine mmnataka kupeleka kuwa ndo style ya maisha mpka majumbani mwenu????
 
kuna baadhi ya watu humu na mambo yao you just have to potezea them!!! mwisho wa siku watu tutoke kwenye mada tuanze kulumbana kwa huo upuuzi.

Masa wachana naye !!!!

Thank you bht! Mambo vipi lakini? Na kumiss ile mbaya

Huyo Binti nimemuweka kwenye Ignore list

Mas
 
JANI KANIBOA HAPA MPAKA NASKIA TUMBO LINAUMA,HUYO KASHAPENDA ZOZ THINGS

heheee lulu hufai kuwa advocate wewe!!!!

naona ungekuwa karibu ungemcharaza afu umsaidie kupack muondoke!!![/QUOTE]
 
Manabii walisahau kutabiri baadhi ya vitu nn. hii imepitiliza.pfuuu..mke wangu atapata raha sana.au watu wanabadilika wakishaoa? au ni tabia zao tu za zamani?
 
Cha kufanya huyo mama apake pilipili ili amkomeshe huyo Mr. wake

Naye ataanza sasa kujisikia kukunwa huko, sasa sijui kama atakuwa amemkomesha huyo shetani au atamhalalishia kabisa. Dawa ni kumpiga kidole tu.
 
JANI KANIBOA HAPA MPAKA NASKIA TUMBO LINAUMA,HUYO KASHAPENDA ZOZ THINGS

heheee lulu hufai kuwa advocate wewe!!!!

naona ungekuwa karibu ungemcharaza afu umsaidie kupack muondoke!!!
[/QUOTE]


Kama tumbo linakuuma sasa, je what if...?
 
Hizi mada Fidel80 anaweza kutoa msaada. Dunia inaongozwa na shetani dalili zote zimepita na sasa dalili zilizoko hata hazikutabiriwa na manabii lakini zinatokea. Kuna mambo hata shetani hashiriki kumshawishi mtu ni mtu mwenyewe amegeuka shetani.

Tufunge macho tuombe.

Eee Mungu baba nakuomba ukapate kumgusa huyo mwanaume fedhuli akapate kushindwa katika jina la Yesu na kama akizidi Mungu naomba umnyanganye hiyo nguvu inayompa kiburi asichaji tena maisha.

Amen

atahangaika huyo kwa waganga mpaka akome,
kumbe aliyempiga kipapai ni mzee wetu wa kali NGULI
 
ahahahaha....hapa naona mnamsaidia binti kwa kuonyesha jazba zenu tuu...mumejaribu kuchunguza na kujua kuwa chanzo cha matatizo ya ndoa ya bintyi mpaka kuombwa tigo na hatimaye kuliwa kinguvu ni marafiki wa mmewe wanaomdanganya mme wake kuwa wao wanawala tigo wake zao....

huyu mme hata akiachana na huyu binti ataoa tena then mke mpya atalalamikia the same issue...maana marafiki wa mme ni walewale waongo na wahuni wa vijiweni wanaokaa na kujadili maisha ya kula tigo tuu.....

ushauri wangu.....
1- KAMA KWELI UNALO PENDO LA DHATI KWA MMEO...MAMA JIPANGE NA KUMTAFUTIA WASHAURI NASAHA MUMEO AJUE KUWA .. mke wa ndoa sio wa kula tigo...tigo wanaume wanakula kwa vyangudoa na walee wanaopenda kuliwa ....pia ajue madhara ya kula tigo..
2- KAMA PENDO LIMEKWISHA...MAMA MWAGA MBOGA...ingia kunako pilato mshtakie mmeo na marafiki zake woote wanaosemwa na mmeo kuwa wanawala tigo wake zao...maana naamini hata kama wake zao wanaliwa walilegea na kuamua kuukubali ukweli kuwa hawana jinsi...ila wewe ndio uwe mkombozi wao
3- KWA WANAWAKE WOOTE....ule muda wa kuwa nyuma kupigania haki zenu umepita...ndio maana kuna vyombo vya sheria kwa watu wooote...watoto hadi wazee...wake kwa waume....VITUMIENI LEO KUDAI HAKI ZENUUUUU.

ni maoni tuu....Finito
 
Thank you bht! Mambo vipi lakini? Na kumiss ile mbaya

Huyo Binti nimemuweka kwenye Ignore list

Mas

mi niko poa mpendwa!!! hiyo ndo dawa ya watu kama hao!!!
 
JANI KANIBOA HAPA MPAKA NASKIA TUMBO LINAUMA,HUYO KASHAPENDA ZOZ THINGS

heheee lulu hufai kuwa advocate wewe!!!!

naona ungekuwa karibu ungemcharaza afu umsaidie kupack muondoke!!!
[/QUOTE]

I know wat u feel dear!!!
 
Hivi mada ambazo huwa mnazoleta hapa toka kwenye blogspot zingine, je majibu/ushauri wetu huwa mnampelekea mlengwa?
 
so sorry mama mmmmmh....trust in God alone...He will make a way for you where seem to be no way...

Hivi mada ambazo huwa mnazoleta hapa toka kwenye blogspot zingine, je majibu/ushauri wetu huwa mnampelekea mlengwa?

Ndo maana mimi nika'sema' bahati yake hayupo hapa maana nina maswali mengi kuliko majibu. Itabidi mtoa mada a'rudishe' mada kule na comments zetu

Umesikia we mume wa dada?
 
KWANI KAIZER YY KAMSHAURI NN HUYU DADA?

I know wat u feel dear!!![/QUOTE]
 
KWANI KAIZER YY KAMSHAURI NN HUYU DADA?

I know wat u feel dear!!!
[/QUOTE]

B yeye kapost afu amechill anasikilizia kwanza tumwage pweint yyeye atachip in baadae!!!
 
Hivi mada ambazo huwa mnazoleta hapa toka kwenye blogspot zingine, je majibu/ushauri wetu huwa mnampelekea mlengwa?

ningekuwa kule mjengoni ningekugongea meza!!!

Binamu Kaizer lazima upeleke haya mapweint yetu kunakohusika!!!
 
ningekuwa kule mjengoni ningekugongea meza!!!

Binamu Kaizer lazima upeleke haya mapweint yetu kunakohusika!!!

bht mydia kuwa muangalifu unapotumia hutu tuneno maana tuna maana nyingi sana humu jamvini- juzi Fidel alikuja na mada yake ya binti Aika aliyekuwa amepigiwa simu na X-wake wakati buzi lake liko juu ya kifua linadownload mjengoni ambapo simu ile ililifanya buzi lile lisitishe zoezi zima na kuanzisha varangati.
 
Back
Top Bottom