ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.
Anaweza kuwa aliandika kwa kumsaidia mtu labda anaitaji ushauri, hata mm nilitoa story ya mdogo wangu watu humu hawakunielewa, tuwe tunashauri kutokana na mada si kuangalia juzi alipost nini. Watu wanashida wanaitaji ushauriUACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''
Wakwe!kunawakwe wengine ni majanga bora ajitahidi kumtafuta msimamizi wake wa Harusi,Pole sana jamani, umejaribu kuwashirikisha ndugu au wazazi wa pande zote mbili?
Jiongezee dawa ya moto ni moto..yaani unapigwa na mlevi?Mimi nimeolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. Siku hizi mume wangu akija nyumbani anaanza kunigombeza bila sababu, ananipiga bila kosa, hataki kuniona, anarudi usiku sana nyumbani amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa, ananitukana matusi, yaani hapa nilipo sina amani na ndoa yangu.
Nishaurini jamani nifanyeje?