Mume wangu ananitesa

Mume wangu ananitesa

kama anakupiga, umechukua hatua gani kudhibiti vipigo? Au unamwangalia tu ulivyogeuzwa punching bag? Kwenu umeua? Rudi kwenu akikufata ita kikao cha wazee mzunhumze
 
Tafuta ushauri wa ndugu zenu ili wamshauri mumeo asipoelewa bwaga manyanga we siyo ngoma bana.:A S angry:
 
kuna mambo ambayo mimi naweza kuwambia mtu avumilie katika ndoa, lakini when it comes to mangumi, samahani sana mdada, hapa ni chapa lapa, tena ukiwa na mimba..!!! ondoka mapema sana. kuna wanawake wengi wametiwa ulemavu na waume zao sababu wa kuvulimia ndoa. wako viziwi, wako walemavu, wako wasioona, yote sababu ya kipigo. kwani huwezi kuishi mwenyewe? kama unajiweza ondoka my dear, kisa cha mtoto wa mwenzio kukutia ulemavu ukubwani. tena hana uoga huyo baba , kukupiga na mtoto tumboni. hana huruma hata kidogo. hafai kuitwa mume, na hiyo ndoa ni batili.
 
MPE SUKARI YA DUBAI BAAAAAAAAAAAAASS!!!!!!! Saa 10 jioni keshaingia kwenye SHUKA anakungojea!!!!!!! NYAMBAAAAFF!!!!! Kalaghabao!

We endelea kuteseka wenzio wanafaidi tuuuuuuuu!!!!!! MJINI MIPANGO SIO SHULE!!!!!!!!
 
Mimi nadhani post moja ni ya mtu mwingine katuma kwa niaba. Sio lazima kila post iwekwayo humu basi ni ya mhusika. Unaweza kuweka post ukijiongelea wewe lakini kiukweli ni ya mtu mwingine, unamsaidia kupata ushauri humu, hasa kwa vile sio member.
msimsakame jamani, mpeni ushauri.




mim ni meolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. siku hz mume wangu akija nyumban anaanza kunigombeza bila sababu,ananipiga bila kosa,hataki kuniona, anarud usiku sana nyumban amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa,anani2kana matusi, yaani hapa nilipo sina aman na ndoa yangu, nishaurin jaman nifanyeje?


Sasa kama juzi ulikuja na hilo hapo juu RED, na leo unakuja na hili la kupigwa BLUE sasa tukuweke wapi mbona unatuchanganya? uwanja huu ni darasa huru ila lililo na malengo ya kusonga mbele, wewe upo wapi kati ya haya mawili? Funguka vizuri mwana kwenda.
 
mim ni meolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. siku hz mume wangu akija nyumban anaanza kunigombeza bila sababu,ananipiga bila kosa,hataki kuniona, anarud usiku sana nyumban amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa,anani2kana matusi, yaani hapa nilipo sina aman na ndoa yangu, nishaurin jaman nifanyeje?

We KITALI unatumixia mambo kama sie wehu eti! Juz mpenzi wa utoto anataka kunioa, jana mmewamtu kakushushua leo mmewako.
Basi kama hazikuhusu sema rafiki yangu au ndugu yangu mkuu..
DRAMA QUEEN!!
But kama kweli, achana nae,maisha mafupi y uteseke 4nothn jaman, muwachee tena toka kbsa.
 
kama anakupiga, umechukua hatua gani kudhibiti vipigo? Au unamwangalia tu ulivyogeuzwa punching bag? Kwenu umeua? Rudi kwenu akikufata ita kikao cha wazee mzunhumze

huyu kitali muongo sana mara ana miaka 22 mume wa mtu nouma kamtukana
mara kaolewa aaaaaa
dramaqueen subiri nimuweke kwenye ignore list
 
Jamani ukiwa muongo uwe na kumbukumbu basi
we jana uliweka topic hapa kuwa una miaka 22 unafanyabiashara una mchumba ila mume wa mtu anadai anakupenda zaidi ya mkeo mara akakutukana
leo hii umeolewa loooo
we ni kimeo
 
UACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''

Jamani wewe may be alimuwakilisha rafiki yake, msaidie tuuuuuu
 
kitali

Tatizo mnaolewa hamuoani.

Kama ni Muislam mpe talaka, hivyo vyote ulivyovisema ni vigezo tosha kwa wewe kumtaliki mumeo. Kama si Muislam, unampa talaka vile vile kupitia mahakamani.

Sijui huwa mnangoja nini na mateso yote hayo.
 
Last edited by a moderator:
kipigo cha mbwa! duuuuh na mimba juu au ndiyo yale mambo wanasemaga ni mimba haimpendi!
 
Unaona mshenzi mwingine
anavyomtesa binti mjamzito wa watu? Sasa hali hii ndo pia inampata my
first love. Achana na huyo mlevi...

Wewe naye ndio walewale kasoro majina tu. Hivi unafikiri mwanamke ni huyo 'my love' wako tu? Mkeo hastahili mapenzi?
 
Mabati yanaficha vitu vingi, its so painful story,dada yangu hata sijui nikushauri nini
Anyways muombe Mungu ataibariki ndoa yako na itakuwa ya furaha na amani, hamna kitu kizuri kama
kuolewa au kuoa mtu ambae ukiondoa neno ndoa she/he is always u're bestfriend!!
Tusikurupuke kuoa au kuolewa pasipo kumjua mhusika kwa ukaribu na kwa undani!!
Mia

iyo aya ya mwisho niyakuzingatia sana kabla ya kufanya maamuzi magumu ya kuingia kwenye ndoa,pia lazima tukumbuke kumuomba Mungu wetu kwasababu yeye anaona mpaka yale tusioyaona kwa macho yetu ya nyama
 
kital

Atakuwa anachakachua huyo. Mtafutie dawa ya kumnatisha kama wa Temeke adabu itarudi
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha wewe ulimfanyia ulozi ili awe mume wako,sasa dawa zimemtoka,hayo ndo matokeo yake,tubu kwa Mola wako yatakwisha.
 
Back
Top Bottom