Mume wangu ananitesa

Mume wangu ananitesa

MSAMEHE ANAFIKIRI HAPA NI FACEBOOK JUKWAA LA FAKE STORY

UACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''

KITALI HUYO HUYO KAANDIKA TENA HAYA
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
 
huyo sio mume ni jamaa tu mume anajua uchungu wa mke wake coz mnashare pain,Human Rights Center iko kwa ajili ya wenye matatizo na wanaohitaji msaada kama wewe,nenda usaidiwe mpendwa Almighty God be with you.
 
kital

Leave and don't turn back .AIDS alert
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini anampiga mama mjamzito ..natamani nijue yuko wapi nimuweke ndani ...:A S angry:

Yaani ni janamume rake ndoa?

Sasa huyu Kitali anastory za uongo uongo ni mbunifu mzuri jana story bado hajaolewa mara keshaolewa na mimba juu tena ya miezi sita... ukiwa muongo basi usiwe msahaurifu
 
Safi vanmedy, nilikuwa najiuliza hili jina nimekutana nalo wapi. kitali ni kweli umeolewa, maana ulileta Uzi wa mpenzi wako kutowasiliana nawe!

attention seeker huyu...si unajua baadhi ya wageni walivyo na tabu!! Kaunga
....
View Profile: kitali
User Name: kitali
User Title: Member
Last Activity: Yesterday 19:33
 
Last edited by a moderator:
MSAMEHE ANAFIKIRI HAPA NI FACEBOOK JUKWAA LA FAKE STORY

KITALI HUYO HUYO KAANDIKA TENA HAYA
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

ehehehehe...... "Facebook minded'' ndio kama hawa akina kitali .... Wanajaza server tu
 
Last edited by a moderator:
Jamani wewe may be alimuwakilisha rafiki yake, msaidie tuuuuuu

sasa kwa hasira na yeye ..ahamie kwangu ili tufurahie ujana wetu na amkomoe huyo mumewe...wenye ujauzito wanakuwaga wamotoooo kama sudan vile...
Note:
Mke wa mtu sumu
mume wa mtu maziwa
 
MSAMEHE ANAFIKIRI HAPA NI FACEBOOK JUKWAA LA FAKE STORY

KITALI HUYO HUYO KAANDIKA TENA HAYA
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

asante sana mpendwa coz hawa watu wametokea facebook wanazani na huku ni mahali pakuchezea.
 
asante sana mpendwa coz hawa watu wametokea facebook wanazani na huku ni mahali pakuchezea. endelea kumuumbua mpaka atulize mshono aache kucheza na akili za wanaje.
 
Kitali wewe unapigwa katika ndoa yako na Kitali wewe tena unategemewa kutambulishwa ili mwakani uolewe. Acha mambo ya Kibabaishaji Kitali.
 
kwa kifupi hapa unaweza kuta wewe ndiye unampa stress mmeo kutokana na hali uliyo nayo. wanawake wengi wakiwa mimba hufanya mambo ya ajabu sana na pengine inaweza sasababisha mwanaume kufanya jambo hata ambalo hakulitengemea. kikubwa vumilianeni na ukishajifungua basi muomabane msamaha na wewe jitahidi kuonyesha upendo usipende kujibizana na mlevi maana akili huwa imesha changanyikana na mapombe na kupunguza uwezo wa kufikiria kwa sehemu kubwa sana.
 
MSAMEHE ANAFIKIRI HAPA NI FACEBOOK JUKWAA LA FAKE STORY

KITALI HUYO HUYO KAANDIKA TENA HAYA
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

anao wengi.
 
kama hii stori yako ni kweli,pole sana au pole kwa huyo mtu uliyemuandikia...mwanamke mjauzito hapigwi!na hatakiwi kupigwa,stand up for urself no matter what...mshtaki ****** huyo,utapigaje mwanamke,sana sana mjauzito,achana nae kama vipi,mtoto si bado atam-maintain tu..
 
Mai waifu alipokua mjamzito hua inatokea kipindi hutaki hata kumuona ..kumpiga itakua ni matokeo ya ujauzito tu..vinatokea sana ..mbona kawaida tu?!
Akaaa! kawaida kumpiga mwanamke? awe na mimba au asiwe na mimba mwanamme wakisawasawa hampigi mwanamke
anapigana na mwanamme mwenzie au na maisha sio mwanamke...
 
UACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''

hapo kwenye red sijapenda, kwani siyo kila mada unayoandika iwe inakuhusu moja kwa moja

haiwezekani kumpiga mjamzito jamani? afu mnasema ni kawaida hiyo, hivi mbona nyie hampigwi? kwanini uchukue hatua kumpiga mwandani wako, wanawake sema ''kipigo hapana'' maana haya ni mazoea wanayojiwekea wanaume. akikupiga siku ya kwanza ukakaa kimya anazoea. walipigwa wanaume kenya wakaandamana.
 
Pole dada.

Naamini haukupata muda wa kumfahamu vizuri mumeo kabla hujaamua kufunga nae ndoa. Kwani hainiingii akilini mtu kuweza kufanikiwa kuficha tabia yake ya ulevi....ataficha kwa muda gani?

Cha muhimu jifunze kuishi na mapungufu ya mumeo...ndivyo alivyo (kama ulivyosema hajabadilika baada ya kukuoa ila alikuficha)
 
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.

Ndoa yenu ni ya imani au taratibu gani? Je bwana mkubwa anatoka mkoa gani? Naomba isiwe Mara!
 
Back
Top Bottom