Mume wangu ananitesa

Mume wangu ananitesa

UACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''

mim ni meolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. siku hz mume wangu akija nyumban anaanza kunigombeza bila sababu,ananipiga bila kosa,hataki kuniona, anarud usiku sana nyumban amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa,anani2kana matusi, yaani hapa nilipo sina aman na ndoa yangu, nishaurin jaman nifanyeje?

Sasa kama juzi ulikuja na hilo hapo juu RED, na leo unakuja na hili la kupigwa BLUE sasa tukuweke wapi mbona unatuchanganya? uwanja huu ni darasa huru ila lililo na malengo ya kusonga mbele, wewe upo wapi kati ya haya mawili? Funguka vizuri mwana kwenda.
 
Pole dada,ila mambo mengine huwa mnasababisha wanawake lazima kuna chanzo
 
UACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''

Ni kweli huyu anapotezea watu muda kumpa ushauri kwenye hadithi zake za uongo. Posts zake zinaji - contradict. Mara anamchumba, mara mume wa mtu mara ana mume!
 
mkuu ushauri wako naukubali kwa %100 but sio mara zote mungu anajibu onspot subira pia yahitajika.
bidada jichubguze kama kweli bado unampenda na hauko tayari kuikosa ndoa yako, fanya hivi, mpotezee mazima akirudi home kuwa kama haupo' usimuulize la shari wala heri, usimwombe si kwa chumvi wala sukari. mfanye mumeo fenicha ambayo ikiwepo sawa haipo sawa.

akiuliza swali usimjibu lolote lile akinyanyu8a mkono ama teke kukupiga nawe nanyua pasi ya moto ama maji moto mmwagie nakwambia atafyata mkia huyo. tena uwe kauzu si mchezo usimwendekeze hata kidogo mpe masharti unataka maisha aina gani hatak basi mwambie asikujue na hata uchi wako usimpe. fanya hayo huku ukiwa unajipanga yaani hadi akushangae nani anayekuhudumia wala usifurukute mwez tu, wa pili anarudi mwenyewe na miguu yake.

mwenzio nilivyumilia sana ingawa sikuwah kupigwa hata kibao, lkn nilivaa sura ya kazi na kuhakikisha famnilia yangu iko njema namshukuru sana Mungu siku aliamua kumbadilisha alimbvadilisha and that now is past.

kama moyoni humtaki nakushauri just quit ili uwe na amani usiangalie jamii itasema nini ama itafanya nn na usitake ushauri wa wanaklamati wakati unapo qiut manake watakukatisha tamaa.

hapo kwa red! Kuna ushauri mwingine ni jaziba, kabla ya kutoa ushauri ni vizuri uka study kwa kina mahusiano yao kabla huja draw conclusion!
 
UACHE U*S*E*NGE kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....JANA ULIANDIKA HIVI
""Kitali 21:35 Yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI
AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''

Hayo matusi yoote umejitukana mwenyewe, kwani wote tunajua hapa JF kuwa stori nyingi zinakuwa hazitihusu ila zinaihusu jamii.hapa watu wanadiscuss jinsi ya kusolve tatizo kama hili kwano matatizo mengi sana yanakiwa yanafanananaga. Nadanganya?
 
Elezea vizuri. Ulipolala kwa mama mkwe na yeye akasafiri kwa siku 2, ukajirudisha kwake?

kwa maelezo yako, nahisi kama wewe ni tegemezi. Unafanya kazi?
nilijarib kwa msimamiz wa ndoa ye2 akaja 2kaongea na akakir hatorudia ila usiku wake nilikiona cha moto kibano kwa kwenda mbele na kufungiwa mlango nikaenda kulala kwa mama mkwe wangu kesho yake akapanga safar na kuondoka akakaa siku mbil akarud ila moto niuleule yaana nyumban akisha rud hakukalik.
 
mbonma unatuzingua wewe
hapa ulikuwa unasema kitu gani!
MUME WA MTU NOUMA
 
Ni kweli huyu anapotezea watu muda kumpa ushauri kwenye hadithi zake za uongo. Posts zake zinaji - contradict. Mara anamchumba, mara mume wa mtu mara ana mume!
hii shosti wangu inatwa Mtambuzi syndrome
 
Last edited by a moderator:
Mie nakujua wewe!Si ulisema mumeo ana mapenzi ya kweli na hata tukija kwenu mna act kama ndo honey moon imeanza kumbe mambo ndo yalivyo tukiondoka?Unless umeacha ku pretend,mumeo hataacha kukudunda!Uliolewaje na mzee wakati ulikuwa na kijana mwenye mapenzi kwako ukamtosa kwa sababu ya umaskini wake?,Hayo ndo matokeo yake!Vumilia ukishindwa vunja ndoa!
 
we kitali, mbona unatuchanganyia news? Ile post ya jana kwanza imeishia wapi?
Attention seeker! . . .
 
Hayo matusi yoote umejitukana mwenyewe, kwani wote tunajua hapa JF kuwa stori nyingi zinakuwa hazitihusu ila zinaihusu jamii.hapa watu wanadiscuss jinsi ya kusolve tatizo kama hili kwano matatizo mengi sana yanakiwa yanafanananaga. Nadanganya?

jazba ilipanda kidogo mzee... Nlicomment baada ya kutoka kusoma habari za uamsho
 
vipi hawezi kumpeleka kwa babu!!!
Mababu wahuni sana, ona sasa mambo yao
MZEE.jpg
 
hii shosti wangu inatwa Mtambuzi syndrome

Shosti story za Mtambuzi walao zinavutia kusoma sasa za huyu mwenzetu mnh! Sijui nisemeje maana anakua anaomba ushauri hivyo watu wanadhani ana tatizo la kweli wanaanza kutoa ushauri kumbe mwenzao anajifunza jinsi ya kutunga story kama za Mtambuzi. Inabidi Mtambuzi aanzishe darasa rasmi.
 
Last edited by a moderator:
uache u*s*e*nge kutuchanganyia habari humu.. Usifikiri kia mtu kichwa funza kama wewe....jana uliandika hivi
""kitali 21:35 yesterday mimi ni msichana ninampenzi
nampenda ila anitumie msg ,hanipigia
anaweza kukaa hata wk hanitafuthi
mpaka mimi nimtafute .unawezakuta
namtumia msg hajibu nikumuliza
mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili
anadi nisijali yupo pammoja na mimi
ananipenda na mim ndiye mke
wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute
siku tukae tuongee ili mwakani
akanitambulishe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli
au ananidanganya''
kumbe ni huyu mbuzi
 
Safi vanmedy, nilikuwa najiuliza hili jina nimekutana nalo wapi. kitali ni kweli umeolewa, maana ulileta Uzi wa mpenzi wako kutowasiliana nawe!
 
Last edited by a moderator:
Mie nakujua wewe!Si ulisema mumeo ana mapenzi ya kweli na hata tukija kwenu mna act kama ndo honey moon imeanza kumbe mambo ndo yalivyo tukiondoka?Unless umeacha ku pretend,mumeo hataacha kukudunda!Uliolewaje na mzee wakati ulikuwa na kijana mwenye mapenzi kwako ukamtosa kwa sababu ya umaskini wake?,Hayo ndo matokeo yake!Vumilia ukishindwa vunja ndoa!

Ni wewe uliyeachwa nini?
 
Back
Top Bottom