Mume wangu ananinyima unyumba

Mume wangu ananinyima unyumba

Habari zenu,

Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.

Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Ukute ana paramiwa na wanaume Halisi.
 
Pole sana mtihani ndoani kweli hilo ni jaribu Mungu akusaidie siku akiwa vizuri hebu kaanaye kiupendo ujue shida ni nini.
 
Kozo Okamoto nimependa ushauri wako. Dada Monika ww unapolalamika miezi mitatu, mwenzio nina mwaka na miezi miwili sasa na maisha yanasonga. Ushauri wangu sasa, ondoa wazo la unyumba kichwani jihesabie kama mjane na wala husiache kujishusha ila suala la kuomba unyumba acha kabisaaa. Siku ikifika yy ndo aonyeshe kukuhitaji. Ila amini ni jambo la kawaida. Hata kama kuna mchepuko wake ipo siku watachokana na atarejea kwako
Hivi ni kweli mwanaume halisi anaweza kukaa muda wote huo bila unyumba? mimi siamini hata kama anamchepuko. Kunaweza kua na tatizo sehemu. Jitahidini wote kuyaongea na viongozi wenu wa dini.
 
Hiyo sio ya kumshilikisha mungu atafute mtu atamsaidia vijana wa hapa kazi tu wapo wengi😉😉😉
Hata mimi hiyo kazi naiweza sana. Nitampa unyumba mpaka sura yake ibadilike, na jina lake atalisahau.
 
Monica pole Mama ndoa ni taasisi ngumu sana inahitaji uvumilivu wa hali ya juu na pia nakushauri jenga tabia yakusali sana Mungu atakubadilisha wewe na mmeo nae atarejesha mapenzi kwako,...onyesha kumjali mmeo muda mwingine kaa nae kwa upole inawezekana una tabia ya kiburi au majibu yako hayaonyeshi kumuheshim mmeo, akikuuliza jambo unamjibu kama mdogo wako hapo sasa wanaume huwa hawapendi kabisaa anaweza akakunyamazia akachukua uamuzi tofauti na unavyomchukulia sometimes ninyi wanawake huwa mnajifanya hamna hamu na waume zenu mwanzo wapenzi lenu unakuwa mwema sana upo tayari kufanya nae hata bafuni ukizaa tu watoto 2 watatu hiv unamshitilia mbali sasa anapohitaji unyumba wee unamgomea unatunga vijisababu vyakuchoka maraaa ooo subiri nilale kwanza, mara ooo ngoja nipunguze usingiz sasa mwanaume akiona yooote haya analala huku nafsini mwake akijisikia vibaya,. tabia hiyo unaijenga siku ikifika amechoka anatafuta mchepuko wewe hatakujaali tena utaanza kumuona hana taimu na wewe ka vile ulivyokuwa unamfanyia yeye... leo hii unatuletea malalamiko kumbe msingi ulichimba mwenyewe na kuujenga sasa umesimamisha nyumba unalalamika... pole sana jaribu kukumbuka penzi lenu la mwanzo lilisimamaje? mlidumu ktk mapenzi ya kweli au mulilazimishwa kuoana? kama mlipendana kikweli kweli haya unayoyaleta kwenye jukwaa yasingekukuta Monica rekebisha ulimi wako na mtizamo wako kwa mmeo pengine unamkwaza.. asante ni maoni yangu tu!!!
 
Naona atakuwa na ngonjwa na hataki kukuambukiza na pia hawezi sema ukwel
 
Habari zenu,

Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.

Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Pole sana mdada,
 
Pole sana bibiye,ndoa yenu imeshakuwa na imekomaa ni vizuri mjadiliane ili mambo yaende ,kukaa miezi 3 bila mechi ni sawa na kufungwa jela bila chakula.
 
Neno moja tu, jiangalie...

Mwangalie mwenzako anataka nini, usikute hata amepata mchepuko mwenye mbwembwe, umbo na mashamsham mengi kuliko wewe,

Maana mwisho wa siku mwanaume inabidi arudi nyumbani sababu ya watoto na sio wewe. Fatilia kwa ukaribu interest zake na ubadilike tokana na mazingira
 
Back
Top Bottom