Mume wangu ana michepuko mingi

Mume wangu ana michepuko mingi

Wandugu habrn za kazi.

Niende kwenye mada

Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.

Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.

Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.

Na sina haja ya kuolewa tena.

Nawasilisha.
 
We Monica we juzi c umesema mme wako hapendi outing na mtu wa kukaa home iweje leo hayo tena, unaniacha hoi hatari we kiboko
 
monicca,pole sana,sitali kusema mengi,ila nakushauri urudi fasta kwammeo na tena umuombe msamaha.Hiyo ndiyo ndoa,hakuna cha ajabu hapo kwani ni kawaida kabisa mwanaume kuwa na wanawake wengi,usidhani ni wewe mwenyewe kamwe hilo futa kichwani mwako.Ukifikiri uko huru na hutaki kuolewa,unakosea sana ndoa ni muhimu sana.Hauko huru Monicca ndo maana umeamua kuja nakuandika humu.Huyo uliyemuacha ndo yuko huru,house girl wako sasa ndo ana faidi kama ulicheza deal kumfumania mmea basi umeloba step,kwani yeye anamalizana na dada.Kwa taarifa yako utakuwa frustrated na utajikuta unapigwa miti na kila mwanaume.Ngoja nikupe ukweli kidogo,ukipewa uume siku moja tuu utembee nao utatia wanawake wengi sana,hivyo usimhukumu mumeo,japo inauma ila vumilia na mshikuru Mungu una mume mwenye uwezo wa kutia wana wake wengi,wewe ukiwa mmoja wao.Rudi nyumbani anza kuvua chupi getini hakikisha unamwomba radhi na maisha yaendeleee.
 
In love, somehow, a woman's heart is always either exceeding the speed limit, or getting parked in the wrong place...

I missed you, ulikuwa kimya kwa wiki kadhaa.
 
Huyu si ndo alisema harudi huku jf..kunani tena....ngoja kwanza, episode ya ngapi hii?
 
Dawa ya moto ni moto, hukuona moto wa shukari ulivyozimwa na au dio na pikcha za mapangoni za aiesi?
 
Wandugu habrn za kazi.

Niende kwenye mada

Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.

Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.

Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.

Na sina haja ya kuolewa tena.

Nawasilisha.

Pole dada moniccca lakini je umepimaa hivi karibuni? Kama uko poa naomba tuwasiliane basi tutakiane hali.
 
Back
Top Bottom