lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 166
Monicca amepotelea Zambia na tren ya mizigo!!!kisa cha kukumbia story Zake zinachanganya!!!! Moniii nini mbaya mama day!
kugegedwa je nako hutaki? hauhutaji? pole sana , au ulikuwa unambania sana nini. alikuwa hatosheki. ulikoisea mwenyewe. ustaraabu nje mkingia chumbani wote geukeni malaya. mfanye vituko vyoote!! hapo angetulia. wenziwe wanamnyonyaga weee na mahanjam kibao!! wewe mke wa ndoa unajifanya mstaarabu!! ndo kosa. HataWandugu habrn za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Hahahahahahaha itakuwa hamfaham Monica vizur, Mndengereko my dear that girl ni drama queen wa jamii forum cha msingi akusaidie tu kupoteza mawazo sio kukuzidishiaAisee moniccca anakupeleka, yaani kbs Unaumiza kichwa kumshauri
alimsifia ana mgegedo mkubwa na mchezo anaujua, sasa maj yashingo. ila chai yake imepoa sasa hiv haina mvutonever say never,pole kwa mkasa huo,ila umesema umeolewa hivi karibuni then just now umefikia maamuzi ya kumuacha,katika uchumba wenu hukumsoma tabia yake? Hukumchunguza? Na kujua tabia yake kuwa ni mr michepuko.
Ila kubwa kbs naomba usiconclude kuwa hutaki kuolewa tena,huko ni kuikatili nafsi yako,
indeed...Interesting ..

enh kumbeAhahaaaaaa, huyu binti anatafuta mkunaji wa nazi zake mkuu 🙂🙂🙂
Yes man.enh kumbe
Ni series mkuu bado sanaHivi kumbe hii hadith bado inaendelea....