July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
kwa hisani ya watu wa marekani
Hahahahahahaha[emoji23]Aksante Sana siku zote nilikuwa naomba uachike turudiane
Utamu mkoleaHivi kumbe hii hadith bado inaendelea....
Binam chukua huyo binti, naamini kwako atatuliahahahhahaahaahahahhahahahaa
wewe monca kiboko
kumbe story zako zote hapa huwa ni fix
Binam chukua huyo binti, naamini kwako atatulia
Ha haaaaaaaaa yaani umetengeneza siku yangu, jamani lolkwa nini unaamini hivyo? mimi mwenyewe JUMBA LA SANAA...yeye KAOLE SANAA GROUP...sasa patia picha hapo....