Endelea kuwa na wasiwasi siku yakikukuta ndo utaamini nachokisema.
umeonaa eeeh, haina ukweli na kama ni kweli huyu mwandishi ndio muhusikaHata mimi nina wasiwasi
kapika mkuu!!umeonaa eeeh, haina ukweli na kama ni kweli huyu mwandishi ndio muhusika
Hebu kamtongoze huyo mwanaume rafiki yako afu utupe feedback.
Story ya namna hii ilishakuja wiki lililopita ndio maana tuna mashaka nayoEndelea kuwa na wasiwasi siku yakikukuta ndo utaamini nachokisema.