Habarini wapendwa wa JF
Ni matumaini yangu wote ni wazima.
Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa kubembeleza pale nnapochuniwa.
Nina ujauzito wa miezi sita kasoro ila huyu mwenzangu hajali hata, na ni mimba yangu ya kwanza.nateseka na haya mateso najiona kama mpweke katika ukuzaji huu wa mimba na mtu alienichunia bila sababu ya msingi. Kun wakati ninakuwa na hamu ya chakula fulani au kinywaji fulani, zamani nilikua namuomba aniletee kama nkiwa na hamu ya msos wowote na alikua analeta,kadri siku zinavyokwenda ndo hamu yangu ya kula inaongezeka nikawa namwomba alete vitu analeta kama ice cream, juice,matunda n.k
Ghafla baada ya mda kupita akaanza kunijib vbaya kila ntakachiongea naye, mara aseme namzeesha,akaacha kuniletea vyakula ninavyovipenda na kunichunia juu.
Sijui ni nn kimetokea ila inaniuma kuona nachuniwa na hana time na mm.nilishamwomba sana katika hichi kipindi cha ujauzito anijali tu na si kingine ila hana time na mm kabisa. Kwenda clinic mpka leo sijaenda nikimwomba twende ni maneno juu.
Ndugu zanguni nishaurini maana nina stress mpka wakati mwingine najuta.
Natamani ningekuwa karibu yako ningekupatia zawadi ujue. Nani alikupatia hiyo hekima, ndoa yako itakuwa na amani kweli. Unajua sisi wanaume mkeo akikuheshimu na kuonesha yupo kwa ajili yako, hata akatize mwanamke mbele yako mrembo hauwezi kumtamani.Jaribu kujiangalia nawe una mabadiliko gani yaliyomfanya abadilike?
Unajiachia yani hujijali tena?
Una mjibu vibaya na kua na kisirani hovyo?
Humjali wala kumuheshimu labda?
Angalia upande wako kwanza urekebishe. Jishushe na ikibidi muitie watu wazima waongee nae
Sasa hao wazee watasaidia nini. Tatizo ni yeye ajitathmini. Haiwezekani mtu over a sudden tu anabadilika bila sababu.Pole sana!!!
Yaani hujaenda clinic unamsubiri huyo gubu lipungue? Jijali mwenyewe mama akati unamsubiri, ikitokea complocations za uzazi ni wewe utakae umia. Kuna watu wanapewa mimba na kukimbiwa lakinj wanajifungua vizuri.
Kama umejaribu kuunguza tatizo ni nini na hakwambii usijipe stress zaidi. We fanya yako... Ukisikia hamu ya embe, vaa viatu nenda gengeni kanunue embe lako...
Endelea kujitunza akiona humpi attention ata kwa wiki moja akili itastuka kidogo. Hali ikiendelea kamripoti kwa wazee.
Wahi clinic Dada,miez yote hyo hujaenda bado unasubir mumeo akubali.asipokubali itakuaje. Changamka mama n hatari kwako na kwa mtoto pia.acha uzembe.sometimes jiongeze mtoto umebeba wewe na sio yeye.chaaaaaHabarini wapendwa wa JF
Ni matumaini yangu wote ni wazima.
Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa kubembeleza pale nnapochuniwa.
Nina ujauzito wa miezi sita kasoro ila huyu mwenzangu hajali hata, na ni mimba yangu ya kwanza.nateseka na haya mateso najiona kama mpweke katika ukuzaji huu wa mimba na mtu alienichunia bila sababu ya msingi. Kun wakati ninakuwa na hamu ya chakula fulani au kinywaji fulani, zamani nilikua namuomba aniletee kama nkiwa na hamu ya msos wowote na alikua analeta,kadri siku zinavyokwenda ndo hamu yangu ya kula inaongezeka nikawa namwomba alete vitu analeta kama ice cream, juice,matunda n.k
Ghafla baada ya mda kupita akaanza kunijib vbaya kila ntakachiongea naye, mara aseme namzeesha,akaacha kuniletea vyakula ninavyovipenda na kunichunia juu.
Sijui ni nn kimetokea ila inaniuma kuona nachuniwa na hana time na mm.nilishamwomba sana katika hichi kipindi cha ujauzito anijali tu na si kingine ila hana time na mm kabisa. Kwenda clinic mpka leo sijaenda nikimwomba twende ni maneno juu.
Ndugu zanguni nishaurini maana nina stress mpka wakati mwingine najuta.
Upo sahihi mkuu. Unatamani uhame nyumba. Mtu anadeka kupitiliza na mbaya zaidi akikaa na mashoga zake anawaambia namkomesha kama nini vile ,as if anafanya makusudi tu kukusumbuaKuna wanawake wanajua kudeka bana...yani mm wa kwangu ilibidi family iingilie kati maana nilishafikia ending point....MTU kila SAA anataka uwe nyumbani,Mara niletee hki,Mara nibebe,Mara ukishangaa kakupiga Kofi nikasema eeeh...IPO cku ntachinjwa ikabidi nitoe conditions kwa familia yke...jamani kwakweli ni mtihani sana...alafu sasa akikupigia cm ukachelewa kupokea heeee....utajuta
Jirani nani kakuficha?Looh jirani wewe
Habarini wapendwa wa JF
Ni matumaini yangu wote ni wazima.
Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa kubembeleza pale nnapochuniwa.
Nina ujauzito wa miezi sita kasoro ila huyu mwenzangu hajali hata, na ni mimba yangu ya kwanza.nateseka na haya mateso najiona kama mpweke katika ukuzaji huu wa mimba na mtu alienichunia bila sababu ya msingi. Kun wakati ninakuwa na hamu ya chakula fulani au kinywaji fulani, zamani nilikua namuomba aniletee kama nkiwa na hamu ya msos wowote na alikua analeta,kadri siku zinavyokwenda ndo hamu yangu ya kula inaongezeka nikawa namwomba alete vitu analeta kama ice cream, juice,matunda n.k
Ghafla baada ya mda kupita akaanza kunijib vbaya kila ntakachiongea naye, mara aseme namzeesha,akaacha kuniletea vyakula ninavyovipenda na kunichunia juu.
Sijui ni nn kimetokea ila inaniuma kuona nachuniwa na hana time na mm.nilishamwomba sana katika hichi kipindi cha ujauzito anijali tu na si kingine ila hana time na mm kabisa. Kwenda clinic mpka leo sijaenda nikimwomba twende ni maneno juu.
Ndugu zanguni nishaurini maana nina stress mpka wakati mwingine najuta.
Ohooooo!!!ujuwe hapo unamwongezea mawazo mwenzio.Wiki 5 zote hizo duh! Mie ningebaki kilo 20 kwa stress,
Huyo chances ni ana mwenzio pembeni mapenzi na attention zimeenda kwake.