Bana weh..nitaplay sehemu zoteUnaeza uka wapiga fix madogo ila uwepo wa baba kisaikolojia kwenye makuzi ni muhimu. Mfano kuna matukio ambayo watoto wana tegemea family ikamilike, kama siku kuu na sherehe achilia mbali mitoko au kuwapeleka kucheza, mfano watoto wakike wana penda sana kucheza na baba zao.
teh teh teh.....Ukorofi tu
Watoto hawa waache
Tutafute sasa utupate[emoji4]Kucheka vepee?!
Ahahahahaha natamani ningempata mwenye punda nirunge mjini
Bwana angu akicheat namloga mkuyenge unasinyaaaa milele
Sipendi ujinga kabisaa
Akimbie tuMaweeeeeee, Oh MAMA MIA,......... hubby wako Akisoma hapa naweza kukimbia Ndoa
Acheat tu kama ndo furaha ya moyo wake..
Hata nikimkuta Cfanyi chochote
Kwakweli.Akimbie tu
usiombeeee best.....makalio yatatetema kimya kimya...Acheat tu kama ndo furaha ya moyo wake..
Hata nikimkuta Cfanyi chochote
Yashanikuta nilitetemeka nikaishiwa na nguvu ila ckufanya chochoteusiombeeee best.....makalio yatatetema kimya kimya...
Ana miaka 45 huyo no 3 broKWENYE NDOA MIAKA 18, CHUKULIA WALIOANA NA MIAKA 18, KWAHYO 18+18=36, KIUFUPI MIAKA KAMA 40 HIVI HUYO MAMA, WALA SIENDELEI.
Yashanikuta nilitetemeka nikaishiwa na nguvu ila ckufanya chochote
Hahaha mume wa no 3 mpaka aje jf itakuwa muujizaMaweeeeeee, Oh MAMA MIA,......... hubby wako Akisoma hapa naweza kukimbia Ndoa
AhahahahaMpaka ikazungumzwa kwenye vitabu vya dini ujue si ya kispoti spoti, watu wanatoana roho wengine wanafilisika wengine wanavunja undugu sababu ya dyudyu
Ahahahaha safi sanaKuna jamaa alishafanyiwa hivyo,akagundua akapelekwa kwa mtaalamu akamtibu alipoenda nyumbani ili kumuonyesha utaalamu wa nzi , wa ukijua ya mbele sisi tunajua ya nyuma akamgonga mdogo mtu kama kutuma salamu vile
We kweli jingasAcheat tu..ili mtadi anajali familia..acheat hata asirudi home akae uko miezi..ila atume tu pesa ya matumizi basi
Mwambie huyoHii una maanisha kweli!! sasa akikaa miezi harafu akirudi si ndiyo kukuletea magonjwa. Halafu pesa peke yake hazitoshi, family inabidi iwe ya baba na mama, baba kama yupo hai harafu watoto hawamuoni nyumbani ina madhara kwa ukuaji wao
Ndio hawa singo maza wanajifanya wana midomoUnaeza uka wapiga fix madogo ila uwepo wa baba kisaikolojia kwenye makuzi ni muhimu. Mfano kuna matukio ambayo watoto wana tegemea family ikamilike, kama siku kuu na sherehe achilia mbali mitoko au kuwapeleka kucheza, mfano watoto wakike wana penda sana kucheza na baba zao.
usiombeeee best.....maAcheat tu kama ndo furaha ya moyo wake..
Hata nikimkuta Cfanyi chochote
hahaahahahahaa......poleYashanikuta nilitetemeka nikaishiwa na nguvu ila ckufanya chochote