Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
-
- #81
mweleze ukweliAkitaka kulipiza kwa mume kucheat jua utaumia wewe tu. Yeye anaweza kupiga mademu hata 50 tofauti but wewe ukipigwa na 25 tu lazima uachwe so utabaki kupigwa dude na kila mwenye njaa ya k
Comment yako inaonesha kabisa kuwa hujaolewaAcheat tu kama ndo furaha ya moyo wake..
Hata nikimkuta Cfanyi chochote
Meona eeComment yako inaonesha kabisa kuwa hujaolewa
sijui haujui huo usemi au kusudi tu....mwambie buana
kizuri kula na mwenzio
sawa.....Mm huwa sichepuki kamweee
HahahaNa watoto wa siku hizi walivyo wanapenda kujaribu mambo sasa, kama nawaona vile [emoji12]
Ukorofi tusijui haujui huo usemi au kusudi tu....
Hahaha hha uuuwi nimecheka mpaka wazungu wameniangaliaAkiwa hivi hata akicheat ni sawa kwani ukimuangalia mashine inalaa
View attachment 704597 View attachment 704601
Dah...uchoyo huo....kwa uwiano huu wa me:ke wa 1:5 ?[emoji87] [emoji41] [emoji13]mmmmh, dudu ilivyo tamu staki hata kushare
HahhahaDah...uchoyo huo....kwa uwiano huu wa me:ke wa 1:5 ?[emoji87] [emoji41] [emoji13]
[emoji27] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Bwana angu akicheat namloga mkuyenge unasinyaaaa milele
Sipendi ujinga kabisaa
Mpaka ikazungumzwa kwenye vitabu vya dini ujue si ya kispoti spoti, watu wanatoana roho wengine wanafilisika wengine wanavunja undugu sababu ya dyudyuu know
me and u both!
ile kitu tamu unaweza ua!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35]Bwana angu akicheat namloga mkuyenge unasinyaaaa milele
Sipendi ujinga kabisaa
Kuna jamaa alishafanyiwa hivyo,akagundua akapelekwa kwa mtaalamu akamtibu alipoenda nyumbani ili kumuonyesha utaalamu wa nzi , wa ukijua ya mbele sisi tunajua ya nyuma akamgonga mdogo mtu kama kutuma salamu vileNaiba shahawaaa zake nazifunga kwenye kitambaa cheupe naficha akienda popote mkuyenge hausimami
Hii una maanisha kweli!! sasa akikaa miezi harafu akirudi si ndiyo kukuletea magonjwa. Halafu pesa peke yake hazitoshi, family inabidi iwe ya baba na mama, baba kama yupo hai harafu watoto hawamuoni nyumbani ina madhara kwa ukuaji waoAcheat tu..ili mtadi anajali familia..acheat hata asirudi home akae uko miezi..ila atume tu pesa ya matumizi basi
Hao watoto ntajua nitawaeleza nini...akishajisikia kurudi tutaenda kupimaHii una maanisha kweli!! sasa akikaa miezi harafu akirudi si ndiyo kukuletea magonjwa. Halafu pesa peke yake hazitoshi, family inabidi iwe ya baba na mama, baba kama yupo hai harafu watoto hawamuoni nyumbani ina madhara kwa ukuaji wao
Unaeza uka wapiga fix madogo ila uwepo wa baba kisaikolojia kwenye makuzi ni muhimu. Mfano kuna matukio ambayo watoto wana tegemea family ikamilike, kama siku kuu na sherehe achilia mbali mitoko au kuwapeleka kucheza, mfano watoto wakike wana penda sana kucheza na baba zao.Hao watoto ntajua nitawaeleza nini...akishajisikia kurudi tutaenda kupima