Mume wako mchafu, usinisumbue

Mume wako mchafu, usinisumbue

Aisee! Wajasiriamiili wana shida maana hawabagui mteja wenyewe pesa tu.
 
kuna wanawake wajinga sana.
Inatokea unatembea na mume wake, anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako.

Ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale. Mwanaume anavaa chupi moja kila siku, vesti ni moja hadi imechanika kila siku, suruali kwa week anabadilisha mara mbili, soksi inabidi zibaki reception maana akiingia tu hotelini hakufai. Maeneo ya siri nayo machafu inabidi tu ujikaze ili watoto waende shule, mwili mafuta haupakwi hata baby care.

Unajiuliza hawa watu hela wanatafuta za nini ? Maana miaka yao ni 60-70. tufanyeje maisha yashakuwa magumu? Nani asiependa maisha mazuri. msinilaumu ila ogesheni waume zenu tunachoka

Kwn lazima awe yeye..basi msaidie abadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawaukubali ukweli lkn wanawake tuna roho ngumu!!!! Siku Mungu akiamua awake video fupi tu ya siri na matendo ya wanawake mbona itakua balaa ndoa zitavunjika na wengine watakataa majina yao
 
kuna wanawake wajinga sana.
Inatokea unatembea na mume wake, anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako.

Ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale. Mwanaume anavaa chupi moja kila siku, vesti ni moja hadi imechanika kila siku, suruali kwa week anabadilisha mara mbili, soksi inabidi zibaki reception maana akiingia tu hotelini hakufai. Maeneo ya siri nayo machafu inabidi tu ujikaze ili watoto waende shule, mwili mafuta haupakwi hata baby care.

Unajiuliza hawa watu hela wanatafuta za nini ? Maana miaka yao ni 60-70. tufanyeje maisha yashakuwa magumu? Nani asiependa maisha mazuri. msinilaumu ila ogesheni waume zenu tunachoka
kwa sababu icho kibabu ni cha kiswahili kingekua kibabu cha kizungu ungekisifia.......akili zenu bana
 
Yupo mwenye hela wa age hiyo hajui kuwa msafi na kujitunza mwenyewe?

Kama hela ipo na mkeo hafui, si kila siku unanunua nguo mpya. Shopping ya wiki nguo pair saba saba, ukishaoga unarudiaje boksa au soxy au Tshirt?
 
kuna wanawake wajinga sana.
Inatokea unatembea na mume wake, anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako.

Ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale. Mwanaume anavaa chupi moja kila siku, vesti ni moja hadi imechanika kila siku, suruali kwa week anabadilisha mara mbili, soksi inabidi zibaki reception maana akiingia tu hotelini hakufai. Maeneo ya siri nayo machafu inabidi tu ujikaze ili watoto waende shule, mwili mafuta haupakwi hata baby care.

Unajiuliza hawa watu hela wanatafuta za nini ? Maana miaka yao ni 60-70. tufanyeje maisha yashakuwa magumu? Nani asiependa maisha mazuri. msinilaumu ila ogesheni waume zenu tunachoka
Ila pesa haujazichoka hahahaass
 
tafuta wako,acha kuiba wa wenzio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom