Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Mweeeh!! Tuishie hapa, tusigeuze uzi wa mtu kama chatting site.free
Hahahahhahahahahhha dunia hii aiseee acha tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweeeh!! Tuishie hapa, tusigeuze uzi wa mtu kama chatting site.free
We chukulia poa tu si unataka pesa? Hiyo nayo ni kazi unachumia juani ukushachuna pelekea hao wanaomwanaume mchafu apite kushoto utakuta boxa navaa mwezi inanuka kibeberu vuzi kama msitu wa mabwepande yalaaaaaaa
Huo ni ujinga wa hali ya juu,kwanza mpaka anakuja kusema hivo hapa it means ana akili zake timamu na anajielewa......kinachomshinda kufanya business ni nini hasa akaweza kuwasomesha watoto wake???? Mpaka akajidhalilishe kwa vibabu mwisho wa siku vimfie apate case aishie segerea.....Cha ajabu mtu anakuja kulalamika humu na amependa mwenyewe, eti anatafuta school feesHao watoto watafaulu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kajitambulisha kama retired sister.....ila aiseee!!!
dunia ina mengi rafiki . kuna majambazi,watoa kafara hadi za watoto,mafisadi wa mali za umma,yaani hela inatafutwa kwa njia nyingi .Mweeeh!! Tuishie hapa, tusigeuze uzi wa mtu kama chatting site.
Hahahahhahahahahhha dunia hii aiseee acha tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mume ana miaka 70 mke si anayo 70 au 68? wote si wazee jamani? hizo boxer atafua saa ngapi ukute na uzee umemjia na maradhi? tuwaheshimu mama zetu na wabibi wetu.tuwaache wale uzee bila stress na wapenzi wao jamani lohSio wanatafuta hela za nini wake zao wanafanya kazi gani ? Mke yuko bize na umbeya na kukimbizana na michepuko atatunza mume saa ngapi ?
Na wewe mchepuko sio unamchuna tu mtunze pia, muogeshe kama mkewe hamuogeshi.
Ila pipe yake ilikuwaje?Kipindi flani hivi enzi za utoto niliwahi kukutana na njemba lina vuzi rangi ya hudhurungi, aisee .... Kitu kilikuwa kinatema balaa.
Pipe alikuwa nayo ila hajui kuitumia
MalayaKwa ulivyomsoma... mwanamke anayeweza kuvumilia yote hayo ili watoto waende shule unaweza kumwitaje kwa mfano??
Usinishobokee mzee. Unajua dini yangu? BTW my comment was impersonal. Pambana na haliyako usiniletee frustration. Usiniletee udini hapaAcha maneno yako ww...,raia wakianza kudiss dini yenu hamchelewi kutoa mapovu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaelekea umeanza kutumika ukiwa bado mdogo sanaKipindi flani hivi enzi za utoto niliwahi kukutana na njemba lina vuzi rangi ya hudhurungi, aisee .... Kitu kilikuwa kinatema balaa.
Nimeanza kutumika nikiwa msichana. Kwa sasa sina chembe ya usichana!