Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Mbona kilimo umeacha sasa mkuuu [emoji90] vipi hapo

na umeacha kwa muda gani?

Na kwann umeacha?

Hapo kwa dada ako umekaa kwa muda. Gani?

Umejishughulisha na nn tangia ufike hapo?

Umemshawishi vipi huyo shemeji akupe mtaji?

Kilimo sikupenda kuacha, kiligoma. Wao wenyewe wakaniita mjini, sasa walichoniitia mjini hakijafanikiwa wananiambia nirudi kijijini, hiyo ni haki?
 
Unapoishi kwa watu kuwa mnyenyekevu
 
Nashkuru kwa ushauri wako kaka, unanipa mwanga. Ila kazi za nyumbani siwezi kufanya tamaduni za kwetu mwanaume hatakiwi kuingia ingia jikon au kufanya kaz za kike. Mume wa dada yy ni mtu wa Pwani kwao ni kawaida
 
Bwege kweli wewe
 
Karibu sana mkuu,

Jitahidi yale utakaoona yanawezekana uweke bidii na juhudi za vitendo kuyatekeleza.

Ukipambana hasaa,kuna siku haya unipitia yatabaki historia.

Muda ni sasa
 
NAona umeamua kuwapima watu upepo kwa kuwachota akili
 
Indeed.

Kama mbwai iwe mbwai tu. Alaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…