Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Sio ndugu yako huyo; hata dada yako anamheshimu mumewe kuliko anavyowaheshimu baba na mama yenu; kuwa mpole, jikombe kwa shemeji, milango itafunguka, pia jitahidi kuwa mchangamfu, usiwawekee makasiriko, wao wanapambana na maisha yao na si ya kwako.​
 
Kuna huyu mwingine mueleweshwe mara ngapi kuwa mtegemea nduguye hufa masikini
 
Attachments

  • Screenshot_20230307-015006.png
    Screenshot_20230307-015006.png
    27.2 KB · Views: 13
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya maswala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira . Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.

Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.

Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.

Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
Una akili sana. Leo usiku hamishia nguo zako na vitu vyako vyote chumbani kwao, waambie wao waende wakalale chumba cha house girl, wewe utalala master bedroom na dada wa kazi utalala naye master bedroom ndipo watakuheshimu
 
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya maswala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira . Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.

Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.

Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.

Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
mpeleke polisi,mpaka akupe mtaji....
 
Mpe anachopewa na dadako atakupa tu
 
Mkuu umefanya vema sana kutushirikisha yanayousumbua wako mtima.

Kwenye suala la kuomba,jitahidi kutumia mbinu shawishi zitakazomuibua mtu kukusaidia kuipiga hatua kufika utakapo.

Usitake jilinganisha na dadako au shemeji,kwa kigezo kuwa Wana uwezo wa kukusaidia.

Fanya kazi za nyumbani ambazo sioni shida we kufanya kwani hata ungekuwa kwako Bado ungefanya.

Jitahidi kuwa na malengo na kuyasimamia,Bado unaweza Toka na kwenda kutafuta walau vibarua vya muda kwa kada uliyonayo au hata nje ya taaluma.

Kumbuka ,kile moyo na nafsi inachokipa muda kukifiria ndicho hicho akili huvutia na kukipa nafasi kubwa.

Amini hapo upo kwa muda,na na dhamiria kutafuta vyako kwa kujiongezea japo kaujuzi Fulani mfano udereva ,ufundi sofa ,bodaboda nk.

Kutoka na kwenda sehemu kwa lengo la kutafuta pia kuna baraka nyingi zitokazo kwa Muumba.
Maeneo kama kwenye miradi ya ujenzi mfano reli,mabomba ya maji nk.Watu wa kada ya afya wanahtajika sana.
Ni kazi za kusotea kwani hakuna kazi inayopatikana kirahisi.

Iambie akili yako unaweza fanikiwa nje ya hapo ulipo,nje ya kada yako au hata watu uliowazowea.

Amini shemeji si adui kwako,Fikisha mawazo yako kwa lengo la kusaidiwa na si kulazimisha ,kubali kujishusha na kuomba msamaha kwani mwisho wa siku ukisaidiwa n kwa manufaa yako na si.ya yeyote jamii forums.
 
Back
Top Bottom