Mume wake dada hataki kunipa mtaji

watu wa ccm pamoja na sukuma ganga mnaanzisha thread za kipumbavu pumbavu ili kutunyamazisha tuache kuongea....siku zote hakuna marefu yasiyokuwa, LABDA TU NATAKA NIWAAMBIE MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 30+ NINAISHI KWANGU YAANI NIMEJENGA HUKU KANDA YA ZIWA NA MOJA YA BIASHARA NINAZOHUSISHA NI UUZAJI WA DAWA ZA BINADAMU.....KWA HIYO MIMI SIISHI KWA SHEMEJI AU KWA NDUGU KAMA AMBAVYO MA -CCM WENGI MNAVYOFIKIRIA KWAMBA KILA ANAEKUJA KUANZISHA THREAD YA KUMPONDA MWENDAZAKE HANA MAISHA
 
Hata mimi nisingekupa huo mtaji. Miaka 29 unajiita kijana mdogo ng'ombe wewe.

Nia yao kukuita ilikuwa njema tu. Kabisa walikuwa na nia kukutoa,ila ilikuwa lazima kwanza wakusome zinachajije. Tayari wmeshakusoma kichwani is empty ndio maana wameona bora urudi shamba
 
maka 29 unajiita kijana mdogo?subili ukue
 
Kabla sijakushauri ngoja nicheke kwanza KwikwikwiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Nadhani unapaswa kujiongeza tu, hiyo mali aliyonayo ndugu yako sio ya kwako eti kisa umetoka tumbo moja. Hangaika na cha kwako bibie, cha mwenzio sio chako.

Usipende kupewa vya bure, vinalemaza. Dada yako na shemeji sio kwamba hawakupendi ila wanataka kuona na wewe unapambania maisha yako. Chukua uamuzi bado mapema, usisubiri kufukuzwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli hii niβ˜•β˜•
 
Ushauri wewe komaa hapo hapo kwa Dada na Shemeji yako, waambie Kijijini hurudi kama kulima rahisi wakalime wao wakuachie nyumba,
Kwanza wewe bado kijana mdogo sana kwanini wanataka kukuzeesha na maisha ya kijijini,

Kuanzia sasa anza na wewe kuwafanyia visa, Kojoa kitandani.
 
Askari wa zenji mko wengi
 
Eti hataki kufanya kazi za ndani, jinga sana huyu kubwa jinga kwani ukifanya kazi za ndani unapungukiwa nini?
Inashangaza sana hifadhi apewe alafu kazi halitaki kufanya na linaona ni haki yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…