Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,558
- 20,414
Kusema ukweli wanachokufanyia siyo haki. Nakushauri ungeshtaki kwa wazazi kijijini. Umejitahidi umesoma na kuhitimu halafu mtu anakuja kukukwamisha korahisi tu.
Futa neno mdogo kwenye ubongo, kijana mdodo huwa ni chini ya miaka 18, Ila sio wewe. Tatizo linaanzia hapo.Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29
Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo.
Mkuu kuna madogo hukU 16 walishaondoka home., 23 mbali.Daaah what a waste watu wana 23 tayari washachomoka home na hawarudi nyuma ohoo huyu dogo sijui anakosea wapi.
Daa weweni wakuchapa bakora, nadhani ndio akili itafunguka, kwa umri huo ulionao na utegemezi ulio naoNilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.
Kitu cha kufanya | Toka tafuta vibarua mtaani | Hata vya ubebaji tofali, sehemu wanazo tengeneza tofali.Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
Hata hivyo una bahati, mimi nakumbuka nilipofika miaka 23, nilifukuzwa. Nilimlaumu sana ndugu yangu kwa wakati ule, lakini nashukuru, ni kama nilipata ushujaa fulani, na kuanza kufanya mambo ambayo sikuyafikiria au kuyatarajia. Nashukuru Mungu, kumbe njia ile niliyochukua baada ya kufukuzwa ndio ikawa msingi wa maisha yangu (hadi leo hii). Kwahiyo ndugu yangu, unaweza kuona hawakupendi, lakini kumbe ndio mwanzo wa hatua ya maisha yako! Mwanzo utakuwa mgumu, lakini utapata dira ya pakuanzia. Watu husema: chura akipigwa teke, kaongezewa hatua!Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya maswala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira . Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
Unaishi wapi huko mkuuu USA au wapiMkuu kuna madogo hukU 16 walishaondoka home., 23 mbali.
Hahahahaha we jamaaMimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya maswala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira . Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
uko kwa dada yako halafu wataka mume wake atekeleze uyatakayo? huenda wamekuona bado uwezo wa kuendesha mtaji huna.
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya maswala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira . Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
Naombeni ushauri, sielewi nifanye nn.
Eti hataki kufanya kazi za ndani, jinga sana huyu kubwa jinga kwani ukifanya kazi za ndani unapungukiwa nini?Hazimtoshi kabisa, anavimba kama kwake vile.