Mume wa mtu ananitesa

Fanya kile roho inataka. Maana kama ni dhambi tayari unayo, mpe unachotaka kumpa
 
Ambao hatujaoa mnaona mambo hayo??? Yani mwanamke unampendwa na mmewe kwa moyo wote lakini bado anafikiria kuchepuka
halafu anajinadi kwamba ana hofu ya Mungu, imagine kwa mtu ambaye hana hofu ya Mungu hali itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu nakusalimia

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
Kuna kimwalimu humu cha chekechea utasikia kinasema umechapia, watu hawakosi vituko
 
Daaah!! Hata nashindwa cha kukushauri. Fuata ushauri wa huyo wa muheza.
 
Wewe unajua kwamba kuchepuka ni nini?
1) Kwa sababu emotionaly uko attached na mwanaume mwingine. Na imefikia umempenda sana KULIKO mumeo. Huku bado uko na mumeo ukimuaminisha bado ana mke imara. How on earth is that not cheating?

2) Umeonesha uchi wako kwa mwanaume mwingine. Uchi ambao baada ya kufunga ndoa ni haki kamili ya mumeo. Kwani huyo jamaa akikulala kitakachopungua hapo ni nini?
Dada, hapo tayari umecheat, usijidanganye. Na kama hujacheat, nenda muambie mumeo uone kama ina tofauti na akikufumania.
 
you have said it all my dear! yaani umeniponya mpk mimi, nakushukuru sana.
wewe mdada Novela E fuata huu ushauri aisee. uwezo wa kutoka hapo uko mikononi mwako. kama unataka ya mwana kuyataka mwana kuyapata subiri uje baadae na zile kauli za ningejua! run while u can!
 
Huyo MUNGU unaedai unamhofu nadhani bado hajazaliwa, umeshazini nusu tayari, anyway basi nitumie na mimi hizo picha ulizotuma kwa jamaa wa Muheza πŸ˜³πŸ™„πŸ˜Ž
 
Niseme ukweli kuomba ushauri ni jambo jema sana.Tusimulaumu maana alikuwa hana uhakika na fikira zake.Cha msingi ni kuwa wewe dada hujajua raha ya kumpata mtu anayekuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…