ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
kuna ndoa moja inapenda sana tena saaaaaaan mazadi kila kukisha siku moja ikwa hivi na ndoa ikaingia ndoa
mke:kaenda dukani kumnunulia mumewe nguo za ndani zinazofanana
mume:asante mke wangu kwa zawadi kaanza kuzingua zote zinafafana,mkewangu mbona hizi zinafafa sana si watajua kuwa sibadilishani
mke:wakina nani hao watakao kuona hubadilishangi?msala mie sipo