Mume poa lakini hatoi unyumba

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mmh. Haya mkuu nadhani kakuelewa.
 
Mi nakushauri uwe unaomba mchezo mwenyewe mvutie kitandani taratibu umvue boxer alafu anza kuchezea korodani hzo mdogomdogo huku wewe ushamkabidhi maziwa anayanyonya taratibu..hebu changamka mama unajua hakuna kitu kizuri kama mwanamke kuomba mgegedo
Hakika mwanamke akiomba tunajihakikishia kwamba hisia zake high na ni rahisi kumfikisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jamaa anatoa matunizi,na sio mgomvi,anamawazo,sio kwamba hakupendi,kaa zungumza naye,pia,yawezekana anafanya kazi nzito yakuchosha mwili,hiyo hana mwanamke mwingine kuliñgana na maelezo yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hapana mkuu huko itakuwa sio kuchoka tena mwezi mzima sneki hadai mlo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume rijali kabisa uamue tu kutofanya tendo la ndoa? Labda kama ana mchepuko nje ila kama hana sio rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyakati zingine wanaume tunakuwa na Mawazo Mengi sana so huwezi kufiria tendo so ni vema mama naye akaplay nafasi yake ya kumwomba ama kumwonesha kuwa anahitaji nayo inakuwa poa sana. Wakati mwingine mke yuko bize kavaa mikhanga yake yake hata kale kaumbo kazuri hukaoni unategemea Mzee atainuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kuna matatu hapa:
1. Huenda huyu mbongo fleva wako ni dume suruali, maana kwamba akiwa na wewe anajifanya mwanaume kumbe huko nje anashikishwa ukuta.
2. Kama hahikishwi nch ya kitanda na wanaume wenzake huko nje, basi pengine anatimiza majukumu yake kwa nyumba ndogo yake na wewe anakufanya pazia tu.
3. Hii iko very common kwa wanawake wetu wa kiafrika....unakuta mtu anaroga mume wa mtu na kumfanya msukule wake ili amchune tu na kumtumia vile atakavyo. Utakuta mwanamme anasusa kabisa mkewe bila hata sababu na wakati mwingine anampiga na kumfukuza nyumbani ili abaki peke. Kama moja ya haya niliyotaja yanakugusa, pole sana dada yangu.
 
Sasa ndo huwezi kulianzisha gemu mwenyewe au ndo vipii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya haraka kumchunguza huenda mashine imezimika kabisa anaogopa kusema. Haiwezekani kwa mwanaume mzima, hata kama anapita nnje inabidi ale hata ndizi moja. Unachoma ndizi hali hata moja!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…