Action speaks louder than wordsSASA Sky Eclat INA MAANA WEWE HUWEZI KULIANZISHA? KILA SKU AANZISHE YEYE TU?
DADA emmyta KAELEZA VEMA KUWA SYO LAZIMA AANZE MWANAUME, WAKAT MWINGNE MWANAMKE ANATAKIWA AANZE UCHOKOZ
HATA SISI WANAUME TUNAJISIKIA RAHA KUANZISHIWA
HASA TUNAPOAMBIWA 'BABA NANILIU NIMEUMIS NANILIUU.. HAPO LAZMA DUDE LITAINUKA (LABDA AWE HANITHI)
MhhMbona kawaida sana hiyo. Mimi niko naye miezi 5 sasa simgusi wala hatuulizani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaniyeah,it surely does.hunisaidia kutunza amani hata kama ni kwa muda mchache then kesi huendelea (au zingine huzimika kabisa...hahaha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mna ugomvi?Mbona kawaida sana hiyo. Mimi niko naye miezi 5 sasa simgusi wala hatuulizani
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yakoWadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila anatoa huduma zingine kama kawaida.
Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.
Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app