Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
Mume: Mimi ninakushangaa sana mke
wangu; kila mara unasema ooooh gari yangu,
mara watoto wangu, mara chumbani kwangu
n.k. "Nimeshakwambia wewe na mimi ni mke
na mume; kwa hiyo unatakiwa kusema,
nyumba yetu, gari letu, watoto wetu,
chumbani kwetu n.k." "Hivi unanisikia? maana
muda wote huu navyoongea wewe uko bize
kwenye kabati la nguo, unatafuta nini humo?"
Mke: "Ninatafuta sidiria yetu mume wangu."