Kuna hii imenitokea sana, nikaulizia kwa baadhi ya watu nao pia wakaniambia kuwa hukumbana nalo ni kawaida, nikaona bora nililete hapa JF kwa magwiji.Mara nyingi ukiwa na mkeo ndani ya gari mmetoka, mnakuwa mmenuniana, hasa hasa mke ndiye anaanzisha mnuno, ukimuuliza kitu anajibu kwa mkato.Lakini kama unatoka na kimada au nyumba ndogo ndani ya gari kunakuwa na furaha ya ajabu,mabusu motomoto, mahanjumati ya kila aina...udi wa mawardi....mengine ni siri!
Wadau jamani hii imekaaje?
Wewe kweli mwisho sana!Kuna hii imenitokea sana, nikaulizia kwa baadhi ya watu nao pia wakaniambia kuwa hukumbana nalo ni kawaida, nikaona bora nililete hapa JF kwa magwiji.Mara nyingi ukiwa na mkeo ndani ya gari mmetoka, mnakuwa mmenuniana, hasa hasa mke ndiye anaanzisha mnuno, ukimuuliza kitu anajibu kwa mkato.Lakini kama unatoka na kimada au nyumba ndogo ndani ya gari kunakuwa na furaha ya ajabu,mabusu motomoto, mahanjumati ya kila aina...udi wa mawardi....mengine ni siri!
Wadau jamani hii imekaaje?
Kuna hii imenitokea sana, nikaulizia kwa baadhi ya watu nao pia wakaniambia kuwa hukumbana nalo ni kawaida, nikaona bora nililete hapa JF kwa magwiji.Mara nyingi ukiwa na mkeo ndani ya gari mmetoka, mnakuwa mmenuniana, hasa hasa mke ndiye anaanzisha mnuno, ukimuuliza kitu anajibu kwa mkato.Lakini kama unatoka na kimada au nyumba ndogo ndani ya gari kunakuwa na furaha ya ajabu,mabusu motomoto, mahanjumati ya kila aina...udi wa mawardi....mengine ni siri!
Wadau jamani hii imekaaje?
Kuna hii imenitokea sana, nikaulizia kwa baadhi ya watu nao pia wakaniambia kuwa hukumbana nalo ni kawaida, nikaona bora nililete hapa JF kwa magwiji.Mara nyingi ukiwa na mkeo ndani ya gari mmetoka, mnakuwa mmenuniana, hasa hasa mke ndiye anaanzisha mnuno, ukimuuliza kitu anajibu kwa mkato.Lakini kama unatoka na kimada au nyumba ndogo ndani ya gari kunakuwa na furaha ya ajabu,mabusu motomoto, mahanjumati ya kila aina...udi wa mawardi....mengine ni siri!
Wadau jamani hii imekaaje?
Kuna hii imenitokea sana, nikaulizia kwa baadhi ya watu nao pia wakaniambia kuwa hukumbana nalo ni kawaida, nikaona bora nililete hapa JF kwa magwiji.Mara nyingi ukiwa na mkeo ndani ya gari mmetoka, mnakuwa mmenuniana, hasa hasa mke ndiye anaanzisha mnuno, ukimuuliza kitu anajibu kwa mkato.Lakini kama unatoka na kimada au nyumba ndogo ndani ya gari kunakuwa na furaha ya ajabu,mabusu motomoto, mahanjumati ya kila aina...udi wa mawardi....mengine ni siri!
Wadau jamani hii imekaaje?
Tatizo liko hapa kwenye ku keep time!Wakati wa kuondoka kina mama wengi huchelewa kwa sababu mbali mbali,mara kujipodoa mara uji wa mtoto,maagizo kwa dada hatimaye amesahau simu yake chumbani,anataka kurudi ndani ,Huyu baba tangu alipoingia kwenye gari yeye shughuli zake ni kidogo mipango mingi iko kule aendako,maamuzi mazito ya kikazi kwa siku hiyo,Kwa hiyo akili yake yote inamtuma kufikiria kuwahi to keep time!Linalofuatia hapa ni honi mtindo mmoja na mama akiingia kwenye gari hana haraka huku akitoa maneno makali kwamba yale aliyokuwa akifanya ni muhimu pia.Wakiingia barabarani hakuna wa kuongea na mwenzake labda awepo abiria mwingine lakini wawili hawa majibu yao yana usongo wa yale ya kule walikotoka.

ndio maana karibu kila mwanamke siku hizi anataka kumiliki gari lake hata ikibidi kuji-express herself (kuuza TIGO)!!!!!!!! ujinga mtupu eti utimke uniache, hakuna rangi utaacha kuona... kama hukukuta kesho nimetimka 11 alfajiri na kukuacha home uonje uchungu wa daladala za asubuhi..... mie napenda usawa kulikokitu chochotemkuu Kimatire hasa hiyo ndiyo sababu. Mimi huwa wakati mwingine nikingoja sana ndani ya gari anakuta nshaambaa nikirudi mnuno siku 3