Haikua bahati yangu, Mungu alipanga ukutane na mwingineSijui ulikuwa wapi enzi natafuta mtu wa Kanda ya ziwa nioe.
Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae!Mungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?😀😀😀
Tutafaulu hiyo mitihani🙏Wakati ndoa unapewa cheti kwanza mtihani baadae!
Ahsante sanaAll the Best
MrejeshoMwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Fake it until you make huh? 😆😆😆Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Amefake nn sasaFake it until you make huh? 😆😆😆