Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Kelvin akabisha lakini taxi ikafika. Wakaelekea Gonga Club & Lodge. Walipofika mlangoni tu, mlinzi salimia, Mambo Kelvin! Kelvin akajibu "poa".
Inakuwaje mlinzi anakufahamu? mke akauliza. Akajibiwa Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time hapa akajibu Kelvin. Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager. Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza, amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu? Wakati Kelvin anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba akawa amefika na kuuliza. Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji nitawaletea huko huko Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale. Wakati anapatana bei na dereva, Kelvin naye akaingia. Mama yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga kwikwi akamsikia dereve anasema. Duh, eee bwana Kelvin huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa! Mamaa akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz --[
KINGA YA UKIMWI: Jamani nimeoteshwa KINGA YA UGONJWA wa UKIMWI tu. Ila kama umeathirika haitafanyakazi, ila kama haujaathirika itakusaidia usipate tena.
/QUOTE]