Mume mtulivu!!!!!!!!!!!!!!????????? ??

Duh ndo leo nimeiona, ila sishangai kelvin wengi ndo wako hivyo hivyo bila tofauti hata moja kilichokosekana kwa Kelvin huyo ni masifa tu ndo sijaona manaake wanamasifa funika.
 
kumbe hapo bado kuna ki2 inamic duh
 
ni kweli ila marudio nayo yanaboa.

yanaboa kidogo?!! tatizo la kuchekia jf kwnye internet cafe.mpk atoke home kufika internet cafe thread km 10 hv zishampita akifika anawekewa 1/2 saa.cafe z kibongo kusaf page moja inafunguka baada y dk10 sana sana ataangalia thread mbili .....kichofuata nini? eeeh kurudia thread.
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaggggggggggggggggggggghhh inaboa kweeeli inaboa,hiii sredi hadi keero sasa jamani hivi we ulieleta hii sredi ulikua wapy?
 
ongeza kidogo ChweChwe coz DA alihic kaweka idadi kubwa..........

naelekea lolyondo kw babu nikanywe dawa mana hesabu inanipiga chenga pengine ntapona nikirudi nitaongeza.
 
yanaboa kidogo?!! tatizo la kuchekia jf kwnye internet cafe.mpk atoke home kufika internet cafe thread km 10 hv zishampita akifika anawekewa 1/2 saa.cafe z kibongo kusaf page moja inafunguka baada y dk10 sana sana ataangalia thread mbili .....kichofuata nini? eeeh kurudia thread.

heh kumbe majibu ulikuwa nayo ss kilichokustaajabisha nn!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom