Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Akikushinda mrudishe kwao huyo akipata wa kuendana nae sawa
Mtu mwenye akil timamu hupimwa wakat ameoa na pind mwanamke anapomvuruga ndipo hupimwa uwezo wa akil na maamuz yakeKwahiyo kuishi na mke kwa akili ndio maana yake kumcontrol? Hii tasfri ni yako mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ukivurugwa na mwanamke hapo ndio tutajua uwezo wa akili yako.Mtu mwenye akil timamu hupimwa wakat ameoa na pind mwanamke anapomvuruga ndipo hupimwa uwezo wa akil na maamuz yake
kilicho akilini kitumie
Kushindwa kivipi?Wanabodi,
Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipigo si sehemu ya akili bana. Mwanamke yeyote unaweza kumtuliza kwa akili bila kichapo. Unaweza kumtandika kwa akili tu bila kumgusa!Mimi akinivuruga uwa sishitaki ni mwendo wa kumpiga mpaka akili zake zina mkaa sawa ata crow chini ya uvungu wa kitanda mpaka bac ata roll mpaka akili imkae sawa ni kichapo tu Muraaaaaaaaa akuna kuongea mara Mbili.
121.
Kushindwa kummudu mke kwa nafasi yako kama mume. Mfano wapo wenye uwezo na wanawapatia wake zao kila kitu lakini bado wanalalamika wake zao wakorofi, kucheat, kutojali n.k
Hapo unakuwa umeoa anaekuzidi akiliWanabodi,
Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi.[emoji44] tena hili jicho?..........[emoji849][emoji849][emoji849].........?
Sasa kama mke 1tu mtu anashindwa kummudu hao wanyongeza wanini si atakufa kabla ya siku zake zakuishi duniani?Kuoa mke mmoja ni dalili za awali za uwezo mdogo na hofu ya kummudu.
Ushindwe wewe halafu halafu umrudishe kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kujifunza jinsi ya kummudu hujawahi ona mbaba lina miaka zaidi ya 45-50 anaoa kabinti kamiaka 20-25 kana mpeleka puta na likitambi lake la supu za kongoro haaa haaaAkikushinda mrudishe kwao huyo akipata wa kuendana nae sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahizi unao watoto wangapi uliozalisha!
Maneno mengi lakini hamna kitu ulichosema, unatofautisha vipi Knowledge ufahamu au kujua na Brain ubongo?Tafsiri ya ki-Biblia imepotoshwa hasa na wakalimani, siyo kila kilicho andikwa kwenye Biblia za kisasa kina ukweli, Shetani ametumia mwanya huo kupotosha. kumbuka kilicho puliziwa pumzi ya Mungu ni ''Mungu'' hakiwezi kukosa akili.
KJV 116 imeandikwa hivi '' Be hold live with a woman according to knowledge'' neno '' Knowledge'' tafsiri yake rahisi ni ufahamu , kujua! ''siyo live with brain'' maana kwamba umjue, umtambue , umwelewe! ndiyo maana tunatongoza ili tuwajue kabla ya kukaa nao!
Lkn pia km unasema kushindwa kum -control. kitendo cha naishi naye tu! ni ufahamu tosha(akili) , sijamshindwa huyu ndo maana anaishi ila nimeamua kumpotezea maksudi.
Naweza hata kumtenga chumba, lkn si tunaishi wote! kwa kutumia ufahamu wangu ndo maana yupo hapa, anakula anakunywa. suala ni kuishi yaani uhai wake na uhai wangu, viko active!
Tatizo linakuja kwa watazamaji, ndiyo atani judge hivo ndivyo sivyo! hilo ni tatizo lake yeye mtazamaji! but mimi najua nimefanya hivo kutokana ninavo muelewa mke wangu! ni ufahamu ( akili) pia. sifikii hatua hii kwa kutumia hewa, bali akili!
Ok! labda nimemuacha mke wangu! ni ufahamu pia wa kufikia maamuzi hayo, mfano nimejua ni mzinifu. mchawi, kaua(arbotion), kiroporopo! namuacha lkn huko ataendelea kuishi na mimi kimawazo. tutawasiliana haijaandikwa eti lazima uishi naye nyumba moja. mnaweza ishi lkn una keep distance!
Kifungu hiki kinawahusu wale wanaojinyonga, au wanao waua wake zao kwa ajili ya wivu wa kimapenzi hawa ndiyo wameshindwa kuishi nao hawana ufahamu, walichukua maamuzi ya kuingia kwenye mapenzi bila kujua tabia za wake zao! kwa hiyo hawa;
1. Hawaishi, Yaani mke haishi na Mume haishi wako ahela. sababu ya kujinyonga!
2. Ukimuua mke wako sababu ya wivu, wewe utaishi jela, ila yeye mke ataishi ahera, hamtakaa muonane kutubu, hapo hujaishi naye kwa ufahamu.
3. Ukimuacha akaenda kwao, au akaolewa tena na mme mwingine, hapa bado wote mnaishi! yeye anaishi kwake na wewe unaishi kwako, siku mnaweza kuonana hata mkaombana msamaha yakaisha! mkaendelea kusaidiana, km mtu baki! lengo ni ili mwende wote Mbinguni.
Haya mafundisho manyonge siyo siri ni ya Getrude Lwakatare mchungaji kipofu, anaingiza watu chaka sana, Hata Neno la una bii, Biblia haija sema kwamba ukishindwa kuishi naye wewe huna akili. hayo ni mafundisho ya kilokole kibinadamu zaidi wanasoma Neno km Gazeti.
Siku ya mwisho ya hukumu no ''excuse'' ooh! ''mimi Bwana Yesu nilidanganywa!'' Mchungaji asiyejua, pamoja na wafuasi wake ni vipofu wote mtaingia shimoni, kwa sababu imetabiliwa Biblical, long time ago that '' Let the Blind Lead the Blind they will all fall onto the endless pit'' nakazia Maarifa ''akili za kuambiwa changanya na zako'' alisema KIKWETE.
Mkuu acha tamaa.Kuoa mke mmoja ni dalili za awali za uwezo mdogo na hofu ya kummudu.
Salama