Mume kushindwa kummudu mke

Mume kushindwa kummudu mke

Maneno mengi lakini hamna kitu ulichosema, unatofautisha vipi Knowledge ufahamu au kujua na Brain ubongo?
Uko sahihi Mkuu hekima ya Mungu siyo ya ki sport- sport, it's imparted an expounded for the chosen few! ningeshangaa sana km ungeelewa jargon, maana hata Mafarisayo na Masadukayo hawakuelewa neno, mpaka wanakufa!

Kwani ubongo umegawanyika sehemu ngapi?

Tazama imeandikwa, and It has been prophesies ed long time ago, siyo maneno ya Nyarusare ,it's much more Biblical, But hapo nime-copy tu na ku-paste tu! sasa km umeokoka na huelewi you need much more time! hivi unajua siyo kila mtu ataingia paradiso?
 
Kipigo si sehemu ya akili bana. Mwanamke yeyote unaweza kumtuliza kwa akili bila kichapo. Unaweza kumtandika kwa akili tu bila kumgusa!

Mfano kuna jamaa yangu aliwahi kuvurugwa kwenye issue flani na mkewe, siku moja alimbadilikia sura na kupiga ngumi ukuta kwa hasira ( ofcourse yuko vizuri ni bondia) na baada ya hapo akaondoka kwa hasira!

Yule mwanamke aliingia uoga na kubadilika hadi kesho akiwaza hivi ile ngumi ingenipata usoni ingekuwaje! Jamaa hakua na nia ya kumgusa lakini baada ya tafakuri nzito alitafuta mbinu ya kumuonesha mkewe kuwa hili jambo likome mara moja.[emoji41][emoji41]

Ukiona mwanamke anabadilika na kutokuwa muoga kufanya lolote kwako ujue tatizo sio yeye bali wewe hutumii AKILI tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdada mmoja nilimchapa maswali kadhaaa akaniangalia Kisha akasema "yaan wew huyo uliemuoa anapata raha Sana I wish ningekuwa mm in female voice"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wengi ni dhaifu na hawana akili wao wasumbufu wanawake wakianza kuwasumbua wanachanganyikiwa.
Ushindwe wewe halafu halafu umrudishe kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kujifunza jinsi ya kummudu hujawahi ona mbaba lina miaka zaidi ya 45-50 anaoa kabinti kamiaka 20-25 kana mpeleka puta na likitambi lake la supu za kongoro haaa haaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio sisi ambao hatuja oa hatuwezi jiita wenyewe kuwa tunaakili...[emoji23][emoji23][emoji23]!!ila kuna wakt haya mambo yanavuruga sn nilishawahi pasua ka W4 Kangu enzi ndo zinatoka, dah roho iliniuma sn kisa upumbavu upu*** tuh wa mahusiano!!!!
Mtu mwenye akil timamu hupimwa wakat ameoa na pind mwanamke anapomvuruga ndipo hupimwa uwezo wa akil na maamuz yake

kilicho akilini kitumie

F@nn¥[emoji769]
 
Tunaita kumpandisha cheo awe amiri jeshi mkuu (mke mkubwa) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

But km mke mmoja kakushinda wapili utamuweza???si ndo yale maswala ya kuja kuvuruga ukoo wako wote???
Write your reply...mke mmoja akizingua mtafutie mwenzie

F@nn¥[emoji769]
 
Back
Top Bottom