Mume kushindwa kummudu mke

Mume kushindwa kummudu mke

Hiyo amani sio kwa kujiexpose hivyo. Deal nae kwa akili tu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa Mkuu, lkn Busara pia, peke yako ni elements za kufanya mambo ki-upekee!, ushirikishi wa roho na nafsi zingine za ukweni pia ni akili, siyo kwamba kutafuta suruhu ukweni umetumia Petrol! ra hasha, ni umetumia akili na ufahamu kufikia uamuzi huo. siyo udhaifu! si ajabu ukifika tu mnapiga goti kwanza mnaomba then mnaendelea. hii pia ni hatua moja mbele!

Kumbuka Mbinguni kuna Utatu Mtakatifu, yaani Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Huu ulishiriki uumbaji, sambamba na wewe hapo, unashiriki uumbaji watu,ktk utatu, km ifuatavyo;

1.Familia yako, wewe mume,mkeo na watoto!=3

2.Familia ya ukweni, walio kuzalia mke!=3

3.Familia uliyotoka, kwenu wewe Baba,=3 bado ni mfano wa Utatu Mtakatifu wengi hawajui hii.siri.

Akili hapa ni kuwa hauko pekee ktk huo uumbaji, Siri ya uumbaji wenye mafanikio ni Utatu!!, utatu!, utatu!, kinyume na hapo ni Majanga, pale ktk Familia yako mnaumba. Mbali na Binadamu pekee (watoto wako) ambao hawakuwahi kuwepo hapa Duniani. kuna vitu, km Nyumba, Mashamba, Mifugo, Magari nk na hivi vyoote vinawatii.

Bwana yesu alitamka waziwazi kuwa mwanaume ni ''mungu'' ni pale Wayahudi walipotaka kumponda mawe! wakidhani anakufuru yeye kujiita mwana wa Mungu.(Mthew pastors watatusaidia hapa!) hivo Baba ukishirikisha sehemu tatu, siyo dalili ya udhaifu. bali ni asili ya Uungu uliyoko ndani yako!

Of course unaweza tumia hata akili ya Ubabe na mkaishi. wanaume tuna uwezo, wa kutisha wa aina Moja tu, ni ule tuliopewa kupitia Pumzi ya Mungu. hata Shetani aliuhofu kwa kutomfuata Adamu. je una akili za kuutambua? and Therefore Mwanamke ana uwezo wa aina mbili zaidi yako km ifuatavyo;

1.Ni ule aliosemeshana na Shetani pale Bustanini. nakwambia hapa usipotumia akili au ufahamu wa ''neno'' utakoma ubishi!

2.Ni ule wa uumbaji asilia aliopewa na Mungu- mke akiutumia huu hapa mwanaume utapona kiulaini,

Maana yake ni kwamba akili zako za ufahamu ndiyo zitamfanya mwanamke atumie uwezo wowote kati ya hizo nguvu mbili hapo juu, kumkaribisha roho Mtakatifu akuongoze kufanya maamuzi. kinyume na hivi uumbaji wako utakuwa bure!

Usitumie akili zako Dunia! utakwama. ukijaribu!; ni rahisi yeye kutumia ile akili aliyosemeshana na Shetani, kwa kuwa umemkaribisha Shetani wewe mwenyewe! akili au ufahamu uliyosemwa hapa ni kuijua Hekima ya MUNGU tu!
 
Uko sahihi Mkuu hekima ya Mungu siyo ya ki sport- sport, it's imparted an expounded for the chosen few! ningeshangaa sana km ungeelewa jargon, maana hata Mafarisayo na Masadukayo hawakuelewa neno, mpaka wanakufa!

Kwani ubongo umegawanyika sehemu ngapi?

Tazama imeandikwa, and It has been prophesies ed long time ago, siyo maneno ya Nyarusare ,it's much more Biblical, But hapo nime-copy tu na ku-paste tu! sasa km umeokoka na huelewi you need much more time! hivi unajua siyo kila mtu ataingia paradiso?
We bwana unatuzingua tu na vingereza vyako
 
M
Wanabodi,

Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashine ndo unaicontrol sio binadam
 
Hapo ndipo penye kutumia akili siyo minguvu.
Ni lazima kuwa hatua kadhaa mbele yake ili kwamba anakuwa anapita mule unamotaka huku akiamini kuwa baadhi ya mambo ni contribution yake kumbe amekuwa manipulated.
Dunia ya Sasa uta mu control vipi mtu mwishowe mnachaganyikiwa life is simple umu control mtu amekuwa kondoo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yeye mwenyewe hawezi kuji control atamweza mkewe kweli? Sasa ukute ni sekunde 8 wazamani mmmm lazima.ashindwe maana anakuwa na wasiwasi sana anashindwa kujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Ulweso sekunde nane si utabakia na nyonga zinauma kila siku. Huyo anahitaji msaada wako ili akufikishe mwisho wa safari.
 
Mimi akinivuruga uwa sishitaki ni mwendo wa kumpiga mpaka akili zake zina mkaa sawa ata crow chini ya uvungu wa kitanda mpaka bac ata roll mpaka akili imkae sawa ni kichapo tu Muraaaaaaaaa akuna kuongea mara Mbili.

Kuna tofauti kati ya nguvu ya mwili na nguvu ya akili......kumpiga mwanamke ni dalili ya kuweka pembeni akili zako (Kama unazo) na kutumia nguvu zako za mwili. Maana yake akili zako zimezidiwa na mwanamke inabidi utumie nguvu zako za mwili kumwadhibu. Badala ya kutumia nguvu zako za mwili vizuri mfano kuwa bondia kwenye ngumi, kuwa mlinzi kwenye milango ya kumbi za starehe, kubeba mizigo mizito, kulima na kuchimba mashimo, nk, unashusha nguvu zako zote kwa mwanamke asiye na nguvu (ya mwili)!!, mnyonge, kiumbe dhaifu, aisyeweza hata kujitetea, ni sawa kweli!? Kisa!!!??

Zielekezeni nguvu zenu mahala sahihi na si kwa kumpiga mwanamke aliye kiumbe dhaifu
 
Kwahio sisi ambao hatuja oa hatuwezi jiita wenyewe kuwa tunaakili...[emoji23][emoji23][emoji23]!!ila kuna wakt haya mambo yanavuruga sn nilishawahi pasua ka W4 Kangu enzi ndo zinatoka, dah roho iliniuma sn kisa upumbavu upu*** tuh wa mahusiano!!!!

F@nn¥[emoji769]
Kipimo Cha akil Ni kuoa hapo ndio tunakupima uwezo wa akil yako na jinsi ya kuchanganua mambo
 
Mke hapaswi kukushinda, ukiona mambo yanabadilika shughulika na wewe mwenyewe, jirekebishe alafu deal nae kwa akili! Ukiona unamshindwa ujue HUNA AKILI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ilo andiko lilikuwa linamaanisha wengi wanavyofikiria leo. Kwa mimi ninalielewa kwa namna nyingine, na ninaamini ndiyo iliyokusudiwa bali si et kile mwanamke anachotenda au kufanya.

Tuishi na wanawake kwa akili sana kwa maana tujali sana hisia zao pasipo kuwavunja moyo. Chukulia mfano una sahani mbili moja ya bati nyingine ya udongo, ipi utaishi nayo kwa akili sana??

Ya bati ikianguka popote fresh tu, hivyo huwezi kuizingatia sana, kwa kuwa hata ikipinda utainyoosha. Ila ya udongo msala, ikianguka imevunjika hivyo unahitaji kuitunza na kuijali sana.

Hivyo ndo sawa na hisia za wanawake. Tafadhari ishini na wanawake kwa akili sana.
Wanabodi,

Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri ya ki-Biblia imepotoshwa hasa na wakalimani, siyo kila kilicho andikwa kwenye Biblia za kisasa kina ukweli, Shetani ametumia mwanya huo kupotosha. kumbuka kilicho puliziwa pumzi ya Mungu ni ''Mungu'' hakiwezi kukosa akili.

KJV 116 imeandikwa hivi '' Be hold live with a woman according to knowledge'' neno '' Knowledge'' tafsiri yake rahisi ni ufahamu , kujua! ''siyo live with brain'' maana kwamba umjue, umtambue , umwelewe! ndiyo maana tunatongoza ili tuwajue kabla ya kukaa nao!

Lkn pia km unasema kushindwa kum -control. kitendo cha naishi naye tu! ni ufahamu tosha(akili) , sijamshindwa huyu ndo maana anaishi ila nimeamua kumpotezea maksudi.

Naweza hata kumtenga chumba, lkn si tunaishi wote! kwa kutumia ufahamu wangu ndo maana yupo hapa, anakula anakunywa. suala ni kuishi yaani uhai wake na uhai wangu, viko active!

Tatizo linakuja kwa watazamaji, ndiyo atani judge hivo ndivyo sivyo! hilo ni tatizo lake yeye mtazamaji! but mimi najua nimefanya hivo kutokana ninavo muelewa mke wangu! ni ufahamu ( akili) pia. sifikii hatua hii kwa kutumia hewa, bali akili!

Ok! labda nimemuacha mke wangu! ni ufahamu pia wa kufikia maamuzi hayo, mfano nimejua ni mzinifu. mchawi, kaua(arbotion), kiroporopo! namuacha lkn huko ataendelea kuishi na mimi kimawazo. tutawasiliana haijaandikwa eti lazima uishi naye nyumba moja. mnaweza ishi lkn una keep distance!

Kifungu hiki kinawahusu wale wanaojinyonga, au wanao waua wake zao kwa ajili ya wivu wa kimapenzi hawa ndiyo wameshindwa kuishi nao hawana ufahamu, walichukua maamuzi ya kuingia kwenye mapenzi bila kujua tabia za wake zao! kwa hiyo hawa;

1. Hawaishi, Yaani mke haishi na Mume haishi wako ahela. sababu ya kujinyonga!

2. Ukimuua mke wako sababu ya wivu, wewe utaishi jela, ila yeye mke ataishi ahera, hamtakaa muonane kutubu, hapo hujaishi naye kwa ufahamu.

3. Ukimuacha akaenda kwao, au akaolewa tena na mme mwingine, hapa bado wote mnaishi! yeye anaishi kwake na wewe unaishi kwako, siku mnaweza kuonana hata mkaombana msamaha yakaisha! mkaendelea kusaidiana, km mtu baki! lengo ni ili mwende wote Mbinguni.

Haya mafundisho manyonge siyo siri ni ya Getrude Lwakatare mchungaji kipofu, anaingiza watu chaka sana, Hata Neno la una bii, Biblia haija sema kwamba ukishindwa kuishi naye wewe huna akili. hayo ni mafundisho ya kilokole kibinadamu zaidi wanasoma Neno km Gazeti.

Siku ya mwisho ya hukumu no ''excuse'' ooh! ''mimi Bwana Yesu nilidanganywa!'' Mchungaji asiyejua, pamoja na wafuasi wake ni vipofu wote mtaingia shimoni, kwa sababu imetabiliwa Biblical, long time ago that '' Let the Blind Lead the Blind they will all fall onto the endless pit'' nakazia Maarifa ''akili za kuambiwa changanya na zako'' alisema KIKWETE.
Mpuuzi tu makala ndefu utadhani unajua kumbe kilaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom