Mume kushindwa kummudu mke

Mume kushindwa kummudu mke

Juzi nimetoka kumpa kipigo cha mbwakoko shwaini mmoja aliyekuwa ananiletea ngebe baada ya kula chips kuku kwa raha zake.

Raha zangu alitaka kuzifanya kero 🤣🤣🤣 ina maana mie sina akili? Huwezi kuwa serious. Sahivi adabu imeshika mkondo wake.
 
Wanabodi,

Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app


Sasa wewe unataka kumcontrol mkeo ili iweje, yeye hana akili au? Mpaka hapo ulipofika umelelewa na Mama yako, yeye hana akili kukulea na kukufundisha? Mkuu ukiona hasira zimekufika shingoni, bora ujipige vidole tu ukalale.
 
Maandiko ya vitabu vya dini mara nyingi tafairi zake hazipo wazi namna hiyo ulivyo tafsiri wewe kwa urefu wa pua
 
Wanabodi,

Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI .... Tafakari ...chukua hatua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumudu kivipi?KUMGEGEDA AKARIDHIKA,,au kushindwa KUMNUNULIA GARI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mke 1tu mtu anashindwa kummudu hao wanyongeza wanini si atakufa kabla ya siku zake zakuishi duniani?

Sahihi kabisa, mmoja ni karibia na sifuri.... unakuwa na hofu nyingi kuhusu kupoteza. Hizo hofu ni dalili ya kupungukiwa uwezo, unakuwa huna uhakika wa kummudu.... wengi wapo kundi hilo na washajiaminisha na utetezi wao.
 
Ni sawa Mkuu, lkn Busara pia, peke yako ni elements za kufanya mambo ki-upekee!, ushirikishi wa roho na nafsi zingine za ukweni pia ni akili, siyo kwamba kutafuta suruhu ukweni umetumia Petrol! ra hasha, ni umetumia akili na ufahamu kufikia uamuzi huo. siyo udhaifu! si ajabu ukifika tu mnapiga goti kwanza mnaomba then mnaendelea. hii pia ni hatua moja mbele!

Kumbuka Mbinguni kuna Utatu Mtakatifu, yaani Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Huu ulishiriki uumbaji, sambamba na wewe hapo, unashiriki uumbaji watu,ktk utatu, km ifuatavyo;

1.Familia yako, wewe mume,mkeo na watoto!=3

2.Familia ya ukweni, walio kuzalia mke!=3

3.Familia uliyotoka, kwenu wewe Baba,=3 bado ni mfano wa Utatu Mtakatifu wengi hawajui hii.siri.

Akili hapa ni kuwa hauko pekee ktk huo uumbaji, Siri ya uumbaji wenye mafanikio ni Utatu!!, utatu!, utatu!, kinyume na hapo ni Majanga, pale ktk Familia yako mnaumba. Mbali na Binadamu pekee (watoto wako) ambao hawakuwahi kuwepo hapa Duniani. kuna vitu, km Nyumba, Mashamba, Mifugo, Magari nk na hivi vyoote vinawatii.

Bwana yesu alitamka waziwazi kuwa mwanaume ni ''mungu'' ni pale Wayahudi walipotaka kumponda mawe! wakidhani anakufuru yeye kujiita mwana wa Mungu.(Mthew pastors watatusaidia hapa!) hivo Baba ukishirikisha sehemu tatu, siyo dalili ya udhaifu. bali ni asili ya Uungu uliyoko ndani yako!

Of course unaweza tumia hata akili ya Ubabe na mkaishi. wanaume tuna uwezo, wa kutisha wa aina Moja tu, ni ule tuliopewa kupitia Pumzi ya Mungu. hata Shetani aliuhofu kwa kutomfuata Adamu. je una akili za kuutambua? and Therefore Mwanamke ana uwezo wa aina mbili zaidi yako km ifuatavyo;

1.Ni ule aliosemeshana na Shetani pale Bustanini. nakwambia hapa usipotumia akili au ufahamu wa ''neno'' utakoma ubishi!

2.Ni ule wa uumbaji asilia aliopewa na Mungu- mke akiutumia huu hapa mwanaume utapona kiulaini,

Maana yake ni kwamba akili zako za ufahamu ndiyo zitamfanya mwanamke atumie uwezo wowote kati ya hizo nguvu mbili hapo juu, kumkaribisha roho Mtakatifu akuongoze kufanya maamuzi. kinyume na hivi uumbaji wako utakuwa bure!

Usitumie akili zako Dunia! utakwama. ukijaribu!; ni rahisi yeye kutumia ile akili aliyosemeshana na Shetani, kwa kuwa umemkaribisha Shetani wewe mwenyewe! akili au ufahamu uliyosemwa hapa ni kuijua Hekima ya MUNGU tu!
Wanaume wazinzi hawa wapige magoti wasali hahaha?.!
No wonder siku zote wanawake wanawazidi akili
 
Juzi nimetoka kumpa kipigo cha mbwakoko shwaini mmoja aliyekuwa ananiletea ngebe baada ya kula chips kuku kwa raha zake.

Raha zangu alitaka kuzifanya kero 🤣🤣🤣 ina maana mie sina akili? Huwezi kuwa serious. Sahivi adabu imeshika mkondo wake.
Inawezekana huna.,mbona kurusha ngumi?.
 
Back
Top Bottom