supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Hapo unakuwa umeshatoa talaka ukitamka tu maneno kama hayo hata kama ulikuwa unamtania.Aaastakafurarrah
Hapo unakuwa umeshatoa talaka ukitamka tu maneno kama hayo hata kama ulikuwa unamtania.Aaastakafurarrah
Mtu mzima huyu kaoa kaschana kadogo asitudanganye wala nini hapa.Heshima tu
Duh mawazo yako yapo apo kati zaidi, YUnamuita mume wako baba halafu usiku unalala naye bila nguo?
Kimaana, Baba ni yule aliyekuzaa, au kukulea, au mwenye nasaba ya ubaba, kama vile ndugu wa kiume wa baba yako ambao kwa utaratibu wa kawaida hawawezi kukuoa au kuhusiana nao kindoa.
Sasa kumuita mume wako 'baba' eti ni heshima iliyotukuka haileti maana..
Umekosa majina yoote mazuri ya kumuita mumeo hadi umuite baba? Sasa kwenye ile ibada iliyotukuka utabinukaje na mtu unayemuita 'baba' yako? Au ndo ile heshima inazidi mpaka unaogopa kuonesha manjonjo unabaki na missionary style?...
Nimewaza tu.
Coz palimtoa mtu Eden.Duh mawazo yako yapo apo kati zaidi, Y
Ni Mambo Kedekede.Mambo kedekede ndo yapi ayo Ever
Huwa unadate vitoto vya primary si bure.Mie binafsi magelo furendi wangu huwa wananiita Baba!!

Acha uongo wako mkuu. Unaishi mjini au kijijini? Kama ni mjini niambie ni wapi.mara nyingi mwanamke alielelewa na mama pekee bila baba anamchukulia mume kama babaake, yani zaidi ya mume